Thursday , 25 April 2024

Day: May 10, 2019

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama wang’oa Wakurugenzi H’shauri, Manispaa kusimamia Uchaguzi

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha kifungu cha sheria cha 7(3), kinayowaruhusu Wakurugenzi wa Manispaa na Halmashauri kuwa wasimamizi wa Uchaguzi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mvua yatikisa Dar

MVUA zinayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam, zimesababisha uharibifu wa mali na makazi, maafa, madarasa ya shule kujaa maji na hata...

Habari Mchanganyiko

Katazo mifuko ya plastiki: Wananchi watakiwa kubeba vyombo vyao

WANANCHI wameshauriwa kwenda dukani au sokoni na vyombo vya kubebea bidhaa ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza baada ya katazo la mifuko ya plastiki...

Habari Mchanganyiko

TRC yatakiwa kusafirisha mbolea kwa wingi

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limetakiwa kutoa kipaumbele cha kusafirisha mbolea nyingi kwa wakati mmoja na kwa gharama nafuu ili kumfikia mkulima kwa...

Habari Mchanganyiko

Polisi hawapaswi kumpiga mtuhumiwa

BUNGE limeelezwa kuwa, polisi hatakiwi hatakiwi kumpiga au kumtesa mtuhumiwa wa makosa mbalimbali, wakati akiwa mikononi mwake au kwenye Kituo cha Polisi. Anaripoti Danson...

Habari za Siasa

Ujerumani, JWTZ waongeza muda wa mkataba

SERIKALI ya Ujerumani imeongeza muda wa mkataba wa ushirikiano wake na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika masuala mbalimbali ya...

error: Content is protected !!