Thursday , 25 April 2024

Day: May 8, 2019

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Mengi avunja rekodi ya mapokezi nchini

MAELFU ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro na mkoa jirani wa Arusha, wamejitokeza kuupokea mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa makampuni...

Habari Mchanganyiko

TADB Benki yatuhumiwa kupendelea wake wa vigogo

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imedaiwa kutoa mikopo kwa kupendelea zaidi wake wa vigogo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akiuliza swali bungeni...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Wamepanga kunikamata 

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama namba moja wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jeshi la Polisi wamepanga kumkamata...

Habari Mchanganyiko

Mch. Gwajima: Hii ni vita, nainua makombora

ASKOFU Josephat Gwajima, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini amesema, kusambazwa kwa video ya ngono inayodaiwa kuwa yake, ni vita kwake na...

Habari Mchanganyiko

DCI, Jeshi la Polisi lachunguza video inayodaiwa ya Mch. Gwajima

JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza uchunguzi wa video ya ngono, inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii inayodaiwa kuwa ni...

Habari za Siasa

Mbunge Msigwa amshitaki RC Hapi kwa waziri

MBUNGE wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema) amemshitaki Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwili wa Dk. Mengi watua Kilimanjaro

MWILI wa Dk. Reginald Mengi, aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni zilizo chini ya IPP Group, tayari umewasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Anaripoti...

error: Content is protected !!