Friday , 19 April 2024

Day: May 4, 2019

Habari MchanganyikoTangulizi

Kifo cha Mengi: Rais Kikwete astaajabu

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amestaajabu uzushi unaosambazwa mitandaoni kuhusu kifo cha Dk. Reginald Mengi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Dk. Kikwete ambaye aliongoza nchi hii...

Habari Mchanganyiko

Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Bil 330

SERIKALI ya Tanzania imepewa msaada wa zaidi ya Sh. 330 bilioni na Serikali ya Ujerumani. Ni kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa...

Habari Mchanganyiko

Waislam watoa pole kifo cha Dk. Mengi

BARAZA la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limetoa pole kwa familia ya Dk. Reginald Abraham Mengi kutokana na kifo cha Mzee Mengi, kilichotokea Dubai, Falme...

Habari za SiasaTangulizi

Vituko Bunge la Spika Ndugai

STAILI ya kutishia kuvua nguo iwapo jambo fulani lisipotendwa ama kuthibiti, imeanza kupata umaarufu ndani ya Bunge la Jamhuri. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....

Habari za Siasa

Msukuma: Nagu umetumwa?

PENDEKEZO la wabunge kutaka kuwabebesha mzigo wananchi kwa kuongeza Sh. 50 kwa kila lita ya mafuta ya petroli na dizeli, limesababisha wabunge wa...

error: Content is protected !!