Thursday , 25 April 2024

Day: May 3, 2019

Habari Mchanganyiko

Wanasiasa, wasanii waomboleza kifo cha Dk. Mengi

MAMIA ya waombelezaji wameendelea kumiminika nyumbani kwa Dk. Reginald Mengi Hananasif, Kinondoni, jijini Dar es Salaam kutoa salamu za pole huku wakimuelezea marehemu...

Habari Mchanganyiko

TEF yatoa rai kwa serikali

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeishauri serikali kuunda chombo maalumu, kitakachofanya kazi ya kutoa mwongozo kwa wanahabari na vyombo vya dola, juu ya...

Habari za Siasa

Wasomi wananiangusha – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na wasomi anaowateua kwenye nafasi mbalimbali kwamba, wengi wao wanamwangusha. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Rais Magufuli ametoa...

Habari za Siasa

Ngono vyuoni: Rais Magufuli afura

VITENDO vinavyoashiria ngono katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), vimemchefua Rais John Magufuli. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Akizungumza katika hafla...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwili wa Dk. Mengi kuwasili Jumatatu, kuzikwa Alhamisi

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi, unatarajiwa kuwasili nchini Jumatatu wiki ijayo, kutoka Dubai,  Umoja wa Falme...

Habari Mchanganyiko

Wanaume mnaonyanyaswa jitokezeni – Serikali

SERIKALI imewataka wanaume wanaonyanyaswa kijinsia na wake zao, kutoa taarifa kwenye madawati ya kijinsia. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa...

Habari Mchanganyiko

Kilio kingine, Wakili atoweka pasipojulikana

KILIO kimeibuka kwenye familia ya Wakili Maneno Mbunda, Mwanasheria wa Hifadhi ya Wanyama ya Arusha kwa kudaiwa kukamatwa na watu wasiojulikana. Anaripoti Faki...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema aiwakia serikali

HATUA ya serikali kuahidi miradi mikubwa na kisha kuitekeleza, imemkera Gimbi Masaba, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema). Anaripoti Dandoson Kaijage, Dodoma … (endelea). Masaba ameitaka...

Habari Mchanganyiko

Matukio uvunjifu wa haki kukusanywa kidigitali

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimezindua mfumo wa kidigitali wa kukusanya taarifa za matukio ya uvunjifu wa haki za...

Habari MchanganyikoTangulizi

Spika Ndugai amwaga ‘wasifu’ wa Dk. Mengi

BAADHI ya mambo yaliyofanywa na Marehemu Dk. Reginald Abraham Mengi ambayo hayajulikani kwa ukubwa wake, yameelezwa na Job Ndugai, Spika wa Bunge. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Magufuli: Sikustahili urais

RAIS John Magufuli amesema kuwa, hakustahili kuwa Rais wa Tanzania bali Watanzania wenyewe ndio waliomchagua. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Amesema, wananchi wa...

error: Content is protected !!