Saturday , 20 April 2024

Month: April 2019

Elimu

Serikali yaomba wadau kukarabati nyumba za walimu

NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mwita Waitara ametoa wito kwa wananchi na wadau wa maendeleo kushirikiana na serikali katika kukarabati nyumba za...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yamtia hatiani Bosi wa Vodacom 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini Sh. 5.8 bilioni, Hisham Hendi, Mkurugenzi  Mtendaji wa kampuni ya...

KimataifaTangulizi

Jeshi Sudan: Wamkamata Rais Bashir, kuongoza nchi miaka miwili

BAADA ya Jeshi la Sudan kumng’oa madarakani Rais wa taifa hilo, Omar al-Bashir, limetangaza hali ya hatari katika kipindi cha miezi mitatu,  huku...

Habari za Siasa

Ziara ya Rais Magufuli Iringa, bendera za Chadema zashushwa

OFISI za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zilizopo Mafinga, Iringa zimevamiwa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Tukio la uvamizi huo katika Jimbo...

Afya

Serikali yathibitisha uwepo wa homa ya dengue Dar, Tanga

SERIKALI imetoa taarifa kwa Umma kuwa bado kuna ugonjwa wa homa wa Dengue hapa nchini licha ya kuwa ugonjwa huo, mpaka sasa hakuna...

KimataifaTangulizi

BREAKING NEWS: Rais Omar al – Bashir ang’olewa Sudan

UTAWALA wa miaka 30 wa Rais wa Sudan, Omar al-Bashir, umefika kikomo nchini humo. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Taarifa kutoka mji mkuu...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda amlima barua Ndugai, sakata la CAG

TAASISI na Jumuiya za Kislamu Tanzania imemuomba Spika wa Bunge Job Ndugai nakala ya mahojiano ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya...

Michezo

Dewji aitabiria makubwa Simba dhidi ya TP Mazembe

MFANYABIASHARA Azim Dewji ameitabiria makubwa klabu ya Simba katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP...

Habari za SiasaTangulizi

CAG awavua nguo tena Chadema, CCM

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, ameibua tuhuma za kuwapo kwa matumizi mabaya ya madaraka ndani ya...

Habari Mchanganyiko

Mke wa Robert Kisena kuburuzwa kizimbani

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru inatarajia kumburuza kortini Florencia Mashauri ambaye ni mke wa Robart Kisena, Mkurugenzi wa Kampuni ya Usafisirishaji...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya CAG yaibua madudu Jeshi la Polisi, Lugumi

UKAGUZI maalum wa ununuzi wa Mfumo wa Utambuzi wa Alama za Vidole (AFIS) wa Jeshi la Polisi, uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG yatua bungeni

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad  imewasilishwa bungeni na  Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais,...

Michezo

Namrudisha Karia aongoze FAT

YANAYOFANYWA na TFF ya rais wa sasa Wellace Karia, hayakupata kufanywa hata katika tawala za miaka 30 iliyopita. Anaandika Yusuf Abood … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea: Sio viwanda tu, nyumba za serikali zirejeshwe

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameitaka serikali kurejesha nyumba za serikali zilizouzwa kiholela na si viwanda vilivyobinafsishwa pekee. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Kimataifa

Algeria yatangaza rais wa mpito

BUNGE la Algeria limemtangaza rasmi Abdelkader Bensalah kurithi mikoba ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika katika kipindi cha miezi mitatu mfululizo....

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi amkwamisha Zitto Kisutu

KESI ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma mjini, imekwama kuendelea kusikilizwa leo katika Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Ziara ya Rais Magufuli yang’oa kigogo Ruvuma

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Dk. Oscar Mbyuzi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa...

Habari za Siasa

Mbunge ahoji vitisho vya polisi

DEVOTHA Minja, Mbunge wa Viti Maalum mkoani Morogoro (Chadema), ameeleza kukerwa na kauli za vitisho zinazotolewa na Jeshi la Polisi nchini. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za Siasa

Mbunge: Nani anaweza kupambana na Magufuli 2020?

LIVINGSTON Lusinde, Mbunge wa Jimbo la Mtera (CCM), ameshauri bunge na wananchi kwa ujumla kwamba, kusiwepo na uchaguzi wa rais mwaka 2020. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais TLS: Lissu ahojiwe

RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dk. Rugemaliza Nshala amesema, ipo haja kwa Tundu Lissu kuhojiwa kutokana na shambulio lake. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Mkutano wa Matiko waiponza Chadema

JESHI la Polisi Wilayani Tarime mkoa wa Mara, wamewahoji viongozi watano wa chama cha Chadema wilayani humo, kwa tuhuma za kutoa lugha za...

Habari Mchanganyiko

Change Tanzania wamtetea CAG

IDADI ya makundi yanayojitokeza kumtetea Profesa Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) dhidi ya azimilo la Bunge la...

Habari za Siasa

Kero 11 za Muungano zimetatuliwa-Serikali

SERIKALI imeeleza kwamba, changamoto na kero za muungano ambazo zimetatuliwa mpaka sasa ni 11 kati ya 15 zilizowasilishwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la CAG bungeni; Mnyika, Chenge, Mhagama hapatoshi 

HATUA ya karatasi yenye orodha ya shughuli za Bunge (order paper) kutoonesha kuwepo kwa taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali...

Habari za Siasa

Polisi, ACT-Wazalendo wavimbiana

JESHI la Polisi nchini, limekataza kufanyika maandamano ya tarehe 9 Aprili 2019 yaliyopangwa na Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahofia ahadi ya Rais Magufuli kutotekelezwa

MBUNGE wa kuteuliwa, Alhaji Abdalah Bulembo (CCM) ameonesha wasiwasi kuwa, ahadi zilizotolewa zinaweza kushindwa kutekelezeka kutoka na muda kubaki mfupi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika amgomea Waziri wa JPM

JOHN Mnyika, Mbunge wa Kibamba (Chadema) amepinga kauli ya Juma Aweso, Naibu Waziri wa Maji kwamba, jimbo hilo limesambaziwa maji kwa asilima 80. Anaripoti...

AfyaMpya

Serikali yatangaza neema Hospitali Dodoma

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameahidi kutoa Tsh. Milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa jengo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mawakili TLS wamtii Lissu

PENDEKEZO la Tundu Lissu, aliyekuwa Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) kwamba, Dk. Rugemeleza Nshala anafaa kuwa rais wa chama hicho,...

Habari Mchanganyiko

Njooni mnunue korosho-Serikali

WIZARA ya Viwanda na Biashara kupitia taasisi yake ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), imewataka wafanyabiashara, taasisi za umma na binafsi...

Habari za SiasaMpya

‘Upinzani unabanwa, serikali iache upumue’

HASHIM Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA)-Taifa, amelalamika kwamba, serikali inavibana vyama vya upinzani nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Anasema, ni wakati...

Habari za SiasaMpya

Sakata la CAG; Vijana ACT-Wazalendo kufanya maandamano

NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, imetangaza nia yake ya kufanya maandamano ya amani kupinga azimio la Bunge kuacha kufanya kazi na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CUF: Sijali, nakwenda ACT-Wazalendo

YUSUF Salim Hussein, Mbunge Jimbo la Chambani visiwani Zanzibar amesema, hahofii kufukuzwa na kwamba, hayupo tayari kubaki Chama cha Wananchi (CUF).Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Anayedaiwa kutumia jina la Katibu Mkuu CCM kutapeli akamatwa

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Wilfred Welandumi kwa madai ya kutumia jina la Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Sitaki kuwa mfalme

RAIS John Magufuli amewaeleza Watanzania kwamba, hataki kuwa mfalme wa nchi hii badi mtatuzi wa kero za wananchi. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Afya

MOI kugawa miguu bandia 600 bure

TAASISI ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), imetangaza kutoa bure miguu bandia 600 kwa watu wenye ulemavu wa miguu. Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari za Siasa

Kesi ya madai Dola 55 Mil dhidi ya Tanzania yafutwa Marekani

KESI ya madai ya Dola za Marekani Milioni 55, iliyofunguliwa na Kampuni ya Transport Equipment Ltd (TEL) dhidi ya Serikali ya Tanzania nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya CAG, mtihani mzito

RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ipo njia moja kuelekea Bunge la Jamhuri ya Muungano, lakini je, itafikishwa?...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Wabunge wanadaiwa mabilioni, kulipa mashaka

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameweka wazi kuwa wabunge kumi wa viti maalum waliokuwa wanatokana na chama cha CUF waliotimuliwa na chama hicho...

Habari za Siasa

TEF: Spika Ndugai kakosea

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeeleza kutofurahishwa na hatua ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kuzuia waandishi wa habari kuzungumza na wabunge baada...

Habari Mchanganyiko

Serikali yafungua mjadala Sheria ya Vyombo vya Habari

SERIKALI ya Jamhuri imeeleza kuwa, imefungua mlango wa majadiliano kuhusu kubadili Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016. Anaripoti Faki Sosi … (Endelea)....

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Bunge halina ugomvi na Ofisi ya CAG

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameeleza kwamba, taasisi anayoiongoza haina ugomvi na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...

Habari za Siasa

Polisi Tanga wazuia mkutano ACT-Wazalendo

JESHI la Polisi mkoani Tanga limezuia Chama cha ACT-Wazalendo kufanya mkutano wake wa ndani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taraifa ilizofikia MwanaHALISI Online...

Habari za Siasa

Mnyika amkabili Spika Ndugai

JOHN Mnyika, Mbunge wa Kibamba jijini Dar es Salaam amepinga hatua ya Job Ndugua, Spika wa Bunge kufukuza wabunge kwa madai ya kudhalilisha...

Habari za Siasa

Mbunge ataka Mbowe ang’olewe

MBUNGE wa Ulanga mkoani Morogoro, Goodluck Mlinga amelishauri Bunge kubadili kanuni ili Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani anapokiuka kanuni na sheria za...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la CAG: Lema ampiku Mdee

MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, “amefukuzwa bungeni.” Amezuiwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lema amekutwa na...

Kimataifa

Muuaji New Zealand kukumbwa na hukumu ya kihistoria

MTUHUMIWA wa mauaji ya watu 50 katika misikiti miwili iliyoko mjini Christchurch, New Zealand, Brenton Tarrant (28) huenda akakumbwa na adhabu ya kihistoria. Inaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Maalim Seif kuweka historia Tanga

MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo leo...

Habari za Siasa

Prof. Shivji: Kuna sheria mbovu zinatungwa

MSOMI wa masuala ya sheria na utawala nchini Profesa Issa Shivji, ameeleza kukerwa na mwelekeo wa utungaji sheria mbovu kwa maslahi ya wachache....

Habari za Siasa

Pierre Liquid alamba dume

LICHA ya kuitwa mtu wa hovyo, mchekeshaji anayechipuka kwa kasi Peter Mollel ‘Pierre’ sasa ni lulu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kuitikia kwake...

error: Content is protected !!