Friday , 29 March 2024

Month: April 2019

Habari za Siasa

CAG vs Spika Ndugai: LHRC yamwandikia barua Waziri Mkuu

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimetoa wito kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuingilia kati mvutano uliopo kati ya Mdhibiti...

Habari Mchanganyiko

Askofu Bagonza awataka waumini kuwa makini

DK. Benson Bagonza, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, mkoani Kagera, amewataka waumini na wananchi kuwa makini...

Habari Mchanganyiko

UBA: Tunajivunia mafanikio Tanzania

BENKI ya UBA nchini imeeleza kuwa, kwa sasa wanakwenda kwa wananchi baada ya mafanikio makubwa ya kufanya kazi na serikali. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za Siasa

DC Katambi awachimba mkwara wapinzani kuhoji ulinzi wa Rais

PATROBAS Katambi, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma amesema, watu wanaohoji ulinzi wa rais hawana nia njema. Anaripoti Hamis Mguta… (endelea). Na kwamba, watu...

Habari za Siasa

Kuwaweka raia mahabusu; DC, Waziri wavutana

AGIZO la kuzuia kuwaweka watu mahabusu lililotolewa na George Mkuchika, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora limepata...

Habari Mchanganyiko

Tapeli wa ‘Tuma kwenye namba hizi’ matatani

MAMLAKA ya  Mawasiliano Tanzania ( TCRA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi limemfikisha kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Fadhili Mahenge anayedaiwa kumiliki...

Habari Mchanganyiko

Matapeli waliotumia jina la Mke wa Magufuli kizimbani, wakosa dhamana

WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kutumia jina la Mke wa Rais, John Magufuli, Janneth Magufuli kutapeli watu....

Habari Mchanganyiko

Uhuru vyombo vya habari wahojiwa bungeni

MALALAMIKO ya kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini, yameibuka tena leo tarehe 18 Aprili 2019 bungeni jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Niko njiani kurejea nyumbani

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema, ataweza kurejea nyumbani muda wowote kutoka sasa, mara baada ya kushauriana na madaktari wake. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mbowe atikiswa tena Hai, wenyeviti 13 watimkia CCM

JIMBO la Hai linaloongozwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limetikiswa tena. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ni baada...

Michezo

Familia ya Mzee Majuto, Kanumba zalamba mamilioni

KAMATI iliyoundwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa ajili ya kupitia mikataba ya wadau wa filamu, imetoa matokeo chanya kwa...

Afya

Kifafa ugonjwa unaotaabisha wakazi Wilaya ya Ulanga

GODLUCK Mlinga, Mbunge wa Ulanga (CCM) amesema kuwa, Wilaya ya Ulanga inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa kifafa Tanzania na duniani. Anaripoti Danson...

Habari za Siasa

Mbunge CCM: Kwanini elimu ya Muungano isitolewe?

RITTA Kabati, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), ametaka Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kuona uwezekano wa kupeleka...

Habari za Siasa

Dk. Tulia ang’oa hotuba ya Sugu bungeni

SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson ameamuru kuondolewa kwenye kumbukumbu za bunge Hotuba ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kibano; Wakili Chadema Vs Shahidi Jamhuri

SHAHIDI  wa kwanza kwenye ya kesi uchochezi  inayowakabili viongozi wa Chadema, ameeleza kwamba hajui sababu za muuaji wa Akwelina Akwilini kutofikishwa mahakamani mpaka...

Kimataifa

Rais ajiua kwa risasi kukwepa kukamatwa na Jeshi

RAIS Mstaafu wa nchi ya Peru, Alan Garcia amejiua  kwa kujipiga risasi akikwepa kuingia mikononi mwa Jeshi la Polisi la nchi hiyo, kufuatia...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe, wenzake; Shahidi akiri kuruhusu matumizi ya risasi za moto

SHAHIHIDI wa kwanza kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, amekiri kuruhusu matumizi ya risasi za moto kwenye maandamano yaliyofanyika na chama hicho tarehe 16...

Kimataifa

Ubalozi Palestina waadhimisha ‘Siku ya Mateka wa Kipalestina’ 

BALOZI za Palestina duniani kote, leo tarehe 17 Aprili 2019 zinaadhimisha Siku ya Mateka wa Kiapestina wanaoendelea kushikiliwa na Jeshi la Israel kwenye...

Kimataifa

Omar al-Bashir aanza kusulubiwa

ALIYEKUWA Rais wa Sudan, Omar al-Bashir ameanza kusulubiwa, Jeshi la nchi hiyo limempeleka katika gereza lenye ulinzi mkali la Kobar, lililoko mjini Khatoum...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe, wenzake; Jina la Akwelina latajwa

JINA la Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwelina Akwilin, limetajwa kwenye ushahidi unaotolewa katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake...

Habari za Siasa

Mbunge CCM atetea wafungwa wajawazito

MBUNGE Viti Maalum (CCM), Angelina Malembeka ameishauri serikali kuweka utaratibu kwa wafungwa wa kike wenye ujauzito, kupewa vifungo vya nje ya gereza, ili...

Kimataifa

Watu 150 wahofiwa kufa ziwani

WATU 150 wanahofiwa kufa baada ya boti walilokuwa wanasafiria kuzama kwenye Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Inaripoti Mitandao ya...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani waibuka na kero saba za Muungano

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeibuka na kero saba za Muungano kwamba, mpaka sasa bado zinatikisa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Ratifa...

Habari Mchanganyiko

Sh. 17.89 Bil kujenga mradi wa maji Mwanza

JUMLA ya Sh. 17.89 bilioni zimetolewa na Serikali,  kupitia mkopo wa masharti nafuu kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Dk. Mashinji awa kikwazo kesi ya Mbowe, wenzake 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi ya uchochezi inayowakibili viongozi waandamizi wa Chadema, kutokana na mshtakiwa namba sita...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahoji ahadi za serikali

CATHERINE Magige, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) leo tarehe 16 Aprili 2019, ameitaka serikali kueleza ni lini itakamilisha ahadi zake ilizotoa kwa jamii?...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yaibomoa CUF Tanga kimya kimya

CHAMA cha Wananchi (CUF), kipo kwenye wakati mgumu baada ya ACT-Waalendo kuendelea kubomoa ngome zake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Licha ya kauli tata...

Makala & Uchambuzi

Spika Ndugai amejaribu, ameshindwa

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amejaribu kumchora Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika taswira...

Habari Mchanganyiko

AG atoa waraka kuwaonya Ma-DC, RC

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi, ametoa waraka kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kukazia marufuku ya wateule hao wa Rais...

Habari Mchanganyiko

Mtumishi anaswa akiuza dawa za serikali

MTUMISHI wa Afya anayefahamika kwa jina la Sarah, amenaswa akiuza dawa za serikali katika duka lake la dawa za binadamu (Pharmacy) lililoko katika...

Makala & Uchambuzi

Spika Ndugai ajuaje moyo wa Rais?

UNAPOTAFAKARI kauli zinazotolewa na Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri kuhusu sakata lake na Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

Habari za Siasa

CCM yateua mgombea Jimbo la Nasari

JOHN Pallangyo ameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki lililokuwa likisimamiwa na Joshua Nasari wa Chadema. Anaripoti...

Habari za Siasa

Wapinzani wamtaka Spika Ndugai ajiuzulu

HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kumwingiza Rais John Magufuli kwenye mgogoro wake na Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani watinga Mahakama ya Afrika Mashariki, kupinga sheria vya Vyama vya Siasa

UMOJA wa vyama nane vya upinzani nchini, vimefungua shauri la madai katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), jijini Arusha, kupinga sheria mpya ya...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad amjibu Spika Ndugai

USHAURI wa Job Ndugai, Spika wa Bunge kwamba, Prof. Mussa Assad, Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ‘akaungame’ kwa Rais...

Habari za Siasa

Mbunge ashauri kesi kubwa za rushwa DPP arukwe

MBUNGE wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako ameishauri serikali kuiruhusu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), kuendesha mashauri makubwa ya rushwa...

Habari za Siasa

Ndugai amtaka Profesa Assad ajiuzulu

JOB Ndugai Spika wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania  ameshauri  Professa Mussa Assad Mkaguzi na Mdhibiti  Mkuu wa Hesabu za Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto atoa hoja 10 nzito, Ripoti ya CAG

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, ametaja maeneo 1o muhimu katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema ‘yajitutumua’ kwa Prof. Assad

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimejibu madai ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, juu ya...

KimataifaTangulizi

Wa-Sudan waling’ang’ania jeshi, kiongozi wa Mapinduzi naye ang’olewa

WAZIRI wa Ulinzi wa Sudan, ambaye Ijumaa ya tarehe 12 Aprili 2019, aliapishwa kuwa kiongozi mpya wa nchi hiyo, kuchukua nafasi ya Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Jenerali Mabeyo akosolewa

MKUU wa jeshi la wananchi nchini (JWTZ), Jenerali Venance Mabeyo, amekoselewa na baadhi ya wanasiasa na wanaharakati, kufuatia kauli yake kuwa “jeshi la...

Habari za Siasa

Dk. Tulia: Rais Magufuli kalirahisishia  kazi Bunge

NAIBU Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amesema Rais John Magufuli ameirahisishia kazi Ofisi ya Bunge katika utekelezaji wa majukumu yake, kutokana na...

Habari za Siasa

CDF Venance: Tupo tayari kukabili uchochezi nchini

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo (CDF) amesema, majeshi yamejipanga kukabiliana na vitendo vya uchochezi vinavyohatarisha usalama wa...

Habari za Siasa

Wananchi wafunga ofisi za serikali ya mitaa

WANANCHI wa Kata ya Rutende wilayani Uyui mkoa wa Tabora wamefunga ofisi za serikali ya kata hiyo wakipinga uongozi uliopo kwa madai kwamba...

Kitaifa

Aliyeongoza kumng’oa  Rais al-Bashir Sudan ajiuzulu

MKUU wa Jeshi la Sudan, Awad Ibn Auf aliyeongoza mapambano ya kumng’oa madarakani Rais wa nchi hiyo, Omar al-Bashiri amejiuzulu katika wadhifa wa...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti ya CAG yawaweka njia panda wabunge wa CCM

BAADHI ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi wamedai wapo njia panda, kwani hawajajua kama watachangia ripoti ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...

Habari Mchanganyiko

Polisi watunukiwa zawadi, wajane wakumbukwa

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa motisha kwa askari wake waliofanya vizuri kwenye majukumu yao ya kulinda wananchi na...

Habari Mchanganyiko

Papa Francis ambusu miguu Salvar Kiir, ataka aache mapigano

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amempigia magoti Rais wa Sudani Kusini, Salvar Kiir akimsihi kiongozi huyo kuachana na mapigano katika taifa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yataja mmiliki wa kadi No. 1 kabla ya Maalim Seif

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza kwamba, Maalim Seif Shariff Hamad amepewa kadi namba moja ili kumsahau aliyekuwa mmiliki wa kadi hiyo, Wakili Albert Msando....

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Kupata maendeleo lazima nguvu itumike

RAIS John Magufuli amesema, ili maendeleo yapatikane wakati mwingine lazima nguvu itumike. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Rais Magufuli ametoa kauli hiyo tarehe...

error: Content is protected !!