Wednesday , 24 April 2024

Day: April 3, 2019

Habari za Siasa

Prof. Shivji: Kuna sheria mbovu zinatungwa

MSOMI wa masuala ya sheria na utawala nchini Profesa Issa Shivji, ameeleza kukerwa na mwelekeo wa utungaji sheria mbovu kwa maslahi ya wachache....

Habari za Siasa

Pierre Liquid alamba dume

LICHA ya kuitwa mtu wa hovyo, mchekeshaji anayechipuka kwa kasi Peter Mollel ‘Pierre’ sasa ni lulu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kuitikia kwake...

Habari za SiasaMpya

Spika Ndugai amng’ang’ania Lema

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini leo mchana tarehe 3 Aprili 2019 atakutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maadili saa 8...

Habari MchanganyikoMpya

Dott Service yaingia ‘anga’ za JPM

RAIS John Magufuli ameicharukia kampuni ya ukandarasi ya Dott Service, kwa kuchelewa kumaliza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Mtwara –...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

CAG ajibu, atahadharisha Bunge

SIKU moja baada ya Bunge la Jamhuri kuazimia kutofanya kazi na Profesa Mussa Assad, Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...

error: Content is protected !!