Saturday , 20 April 2024

Day: April 1, 2019

Habari za Siasa

Bunge la 15 kuanza kesho, miswada miwili kupitishwa

MKUTANO wa kumi na tano wa bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili na kupitisha miswada miwili ya sheria ambayo itasomwa kwa hatua zake zote....

Michezo

TFF yatoa kauli uchaguzi mkuu Yanga

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), chini ya Mwenyekiti wake Wakili Ali Mchungahela imetangaza tarehe 5, Mei 2019...

Habari za Siasa

Tamisemi yawaangukua wadau vyama vya siasa 

WAKATI uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, ukitarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...

Habari za Siasa

AZAKI zapeleka fikra mpya Ofisi ya Msajili

ASASI za Kiraia (AZAKI) nchini zimemshauri Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuunda Kamati Huru itakayoshughulikia tuhuma zinazokikabili Chama cha ACT-Wazalendo,...

Habari Mchanganyiko

TFS watimua wafugaji ndani ya hifadhi Ikowa

MENEJA wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Kanda ya Kati, Mathew Kiondo ametoa siku mbili kwa wafugaji wanaolisha mifugo yao katika Msitu wa...

Kimataifa

‘Wahuni’ Afrika Kusini waanza kuua wageni

WATU watatu wameuawa huku 50 wakitafuta hifadhi kwenye vituo vya polisi katika mashambulizi yaliyofanywa na baadhi ya raia wa Afrika Kusini, wanaopinga uwepo...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Inaniuma kuhama CUF

JEMEDARI wa siasa za upinzani visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza, hatua yake ya kuondoka katika Chama cha Wananchi (CUF) imeacha majonzi...

Habari za SiasaTangulizi

Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni, njiapanda

KAMBI Rasmi ya upinzani bungeni, iko hatarini “kusambaratika” kufuatia “mapinduzi” ya kisiasa, yaliyotokea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Danson Kaijage kutoka...

Habari za Siasa

Ninaandamwa na dola – Maalim Seif

NINAANDAMWA na dola. Ndiyo kauli ya Maalim Seif Shariff Hamad, Makamu wa Rais wa Kwanza katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ). Anaripoti Regina Mkonde...

error: Content is protected !!