Friday , 19 April 2024

Day: March 20, 2019

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: 2020 tunachukua Z’bar

HARAKATI za kutambulisha na kuimarisha Chama cha ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar zinashika kasi ambapo sasa kinadai kitashinda nafasi ya urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yapigwa stop na Mahakama kwa Nassari

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma, imetoa amri ya kuzuia kufanyika uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, hadi shauri la madai...

Kimataifa

Waliokimbia vita Syria, wafia msikitini New Zealand

HAMZA Mustafa (15) na baba yake aliyetajwa kwa jina moja Khalid (44), raia wa Syria waliokimbilia New Zealand, waliuawa kwenye mashambulizi yaliyotokea msikitini...

Habari Mchanganyiko

Dodoma wajiandaa kumpokea Rais Magufuli kwa mabango

WAKAZI wa Kata ya Mtumba, jijini Dodoma wanajiandaa kumpokea Rais John Mgufuli kwa mabango yenye malalamiko baada ya halmashauri ya jiji hilo kushindwa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Majaliwa: Serikali inaendelea kupambana na mafisadi 

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kupambana na wala rushwa pamoja na mafisadi wote ambao walikuwa wanakula fedha za miradi ya maendeleo...

Habari za Siasa

DK. Lwaitama amzungumzia Maalim Seif

UAMUZI  wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad wa kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo umetajwa kuwa ni ushujaa....

Habari za Siasa

Mbowe, Dk. Mashinji wampigia saluti Zitto  

HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo kushawishi na hatimaye waliokuwa viongozi waandamizi wa CUF kujiunga na chama chake, imepongezwa....

Habari za SiasaTangulizi

Zitto akabidhiwa mzigo wa Prof. Lipumba  

MAMBO yanzidi kwenda kombo ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) ambapo Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo alikabidhiwa lundo la kadi...

error: Content is protected !!