Thursday , 25 April 2024

Day: March 19, 2019

Habari za Siasa

Kwanini Maalim Seif apewe kadi No. 1 ACT-Wazalendo?

MAALIM Seif Sharif Hamadi, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 19 Machi 2019 amekabidhiwa kadi namba moja ya chama hicho. Anaripoti Hamis...

Kimataifa

Tanzania yatoa msaada Zimbabwe, Malawi na Msumbiji

TANZANIA  imetoa msaada wa kibinadamu kwa nchi za Zimbabwe, Malawi na Msumbiji, baada ya nchi hizo kukumbwa na maafa yaliyotokana na kimbunga cha...

Makala & Uchambuzi

Kwanini twende ACT Wazalendo na sio Chadema?

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania kupitia Jaji Benhajj Masoud, imeamua kumhalalisha Lipumba (Pro. Ibrahim Lipumba) kama mwenyekiti halali wa CUF. Sisi tumeendelea kusimamia msimamo...

Habari za Siasa

Kinachonibakisha CUF si Prof. Lipumba-Mbunge CUF

HAMIDU Bobali, Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Lindi amesema kuwa, hatoacha ubunge na kujiunga ACT-Wazalendo alikohamia Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Zitto siyo mnafiki kama yule

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemweleza Zitto Kabwe kwamba sio mnafiki. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akikaribishwa Makao...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba awaangukia Wazanzibar

MWENYEKITI wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amewaangukia wanachama wa chama hicho visiwani Zanzibar kumuunga mkono. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Prof. Lipumba...

Habari Mchanganyiko

Sheikh Dodoma: Vijana changamkieni fursa Mtumba

SHEIKHE wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewataka vijana kutumia nguvu zao wakati serikali ikijenga mji wa kiserikali katika eneo la Mtumba, jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aondoka na ‘kijiji’ CUF

HATUA ya Maalim Seif Shariff Hamad kundoka katika Chama cha Wananchi (CUF) na kuhamia Chama cha ATC-Wazalendo imeathiri chama chake cha awali. Anaripoti Bupe...

Michezo

Koffi Olomide akumbwa na jinai ya ubakaji

NYOTA wa muziki wa Rhumba nchini Kongo, Antonie Agbepa Mumba maarufu kwa jina la Koffi Olomide amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au...

error: Content is protected !!