Thursday , 25 April 2024

Day: March 16, 2019

Michezo

Simba yafanya kweli

Klabu ya Simba imefanikiwa kufuzu katika hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba amaliza kazi, amng’oa Maalim Seif

HATIMAYE Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francies Mutungi, amekamilisha kazi...

Habari za Siasa

Serikali yakaripia wawekezaji waliouwa viwanda

SERIKALI imesema, iko mbioni kutaifisha viwanda vyote ilivyovibinafsisha kwa watu binafsi, lakini wameshindwa kuviendeleza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Injinia Stella Manyanya, Naibu...

Kimataifa

‘Muuaji msikitini New Zealand alijaza silaha kwenye gari lake’

BRENTON Tarrant (28) aliyeshiriki kufanya mauaji msikitini nchini New Zealand jana tarehe 15 Machi 2019 na kusababisha vifo vya waumini wa dini ya...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ‘byebye’ CUF

JINA la Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) linakwenda ukingoni ndani ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

error: Content is protected !!