Friday , 19 April 2024

Day: March 14, 2019

Habari za SiasaTangulizi

Utata mtupu Nassari kuvuliwa ubunge

HATUA ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutangaza kumvua ubunge mbubge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Arumeru Mashariki,...

Habari za SiasaTangulizi

Pigo lingine Chadema, Ndugai amvua ubunge Nassari

SPIKA wa bunge Job Ndugai amemwandikia barua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Semistocles Kaijage kumtaarifu kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Joshua...

Habari Mchanganyiko

Binti aondolewa kizazi kwa siri, madaktari washindwa kujieleza

RAHAEL Alaay (25) ameiomba serikali kupitia Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuingilia kati mgogoro wake na...

Afya

‘Ulaji holela dawa za kupunguza maumivu ni hatari’

ULAJI holela wa dawa za kupunguza maumivu ni moja ya sababishi ya ugonjwa wa Figo, imeelezwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba aeleza ‘jeuri’ ya kufanya mkutano mkuu

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa, ameeleza sababu za kufanyika kwa mkutano mkuu wa...

Habari za Siasa

Mbowe, wenzake wapangiwa hakimu mwingine, wasomewa mashataka upya

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo tarehe 14 Machi 2019 wamesomewa upya mashtaka yao kutokana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

Habari Mchanganyiko

WFP wajipanga kumkwamua mkulima mdogo

MWAKILISHI  wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Tanzania, Michael Dunford alisema WFP inaangalia namna ya kumtoa mkulima katika kilimo kidogo na kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lakwepa kufafanua madai mshahara wa Lissu

MADAI ya Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kwamba, amesitishiwa mshahara na stahili zake zingine za kibunge yameshindwa kupatiwa ufafanuzi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Madai...

Habari za Siasa

Bunge lamwadhibu Lissu, lasitisha msharaha wake

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amekuja juu baada ya Bunge la Jamhuri kufuta mshahara na posho zake zote. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Baada ya mahabusu; Mbowe akutana na janga jingine

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, anakumbana na misukosuko mfululizo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Uongozi wa Wilaya...

Habari za Siasa

JPM asaka wawekezaji Urusi

RAIS John Magufuli amemkaribisha Rais wa Urusi, Vladmir Putin  na wawekezaji kutoka nchi hiyo, kuja kutembelea Tanzania pamoja na kutafuta fursa mbalimbali za...

error: Content is protected !!