Friday , 29 March 2024

Day: March 13, 2019

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba atwaa uenyekiti CUF

PROFESA Ibrahim Lipumba ametwaa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Miongoni mwa majukumu ya leo...

Michezo

JPM akabidhiwa ramani ya Uwanja

RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Morrocco nchini Tanzania Abdelillah Benry pamoja...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba apata upinzani uenyekiti CUF

DIANA Simba, mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 13 Machi 2019, amejitokeza na kumwaga sera kwamba, anaweza kuongoza chama hicho bila...

Kimataifa

Wanafunzi wafunikwa na kifusi baada ya kudondokewa na ghorofa

WATU  kadhaa ikiwemo wanafunzi wanahofiwa kufunikwa na kifusi baada ya jengo moja lililoko katika maeneo ya Ita Faji kwenye mji kibiashara wa Nigeria,...

Habari Mchanganyiko

Jiji Mwanza waanza kujenga a soko la Sh. 23 bil

HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza, imeanza ujenzi wa soko kubwa la kisasa ambalo lilikuwa kwenye mikakati ya muda mrefu ya ujenzi na sasa ...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Namaingo ni neema, itumieni vizuri  

MKUU wa Wilaya ya Kibiti (DC), Gulamhussein Shabani Kifu amewataka wananchi wa Kijiji cha Ruaruke wilayani Kibiti pia wananci wote kwa ujumla kuitumia...

Habari Mchanganyiko

Hakimu agoma kumpa dhamana mtuhumiwa sugu wa bangi

MOHAMED Hamis, mtuhumiwa aliyekutwa na bangi yenye uzito wa kilo 0.57 amekataliwa dhamana kutokana na kuwa ‘mzoefu’ kukamwata na makossa ya namna hiyo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mwenyekiti halmshauri; Biashara ya ngono ihalalishwe tuongeze mapato

UKATA wa fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida umechochea fikra mpya kwamba, biashara ya ngono inaweza kusaidia kufukia pengo hilo. Anaripoti...

error: Content is protected !!