Friday , 19 April 2024

Day: March 12, 2019

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Ester Matiko wageuka kivutio bungeni

MBUNGE wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko wote Chadema wamekuwa kuvutio katika ukumbi wa Pius Msekwa kwa kushangiliwa...

Habari za Siasa

Kubenea ang’ata na kupuliza mpango wa Maendeleo ya Taifa

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema kuwa mpango uliowasilishwa leo na Waziri wa Fedha na Mipango kwa wabunge wote wa...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu awachimba mkwara mawaziri wake

WAZIRI Mkuu Kassm Majaliwa amewataka mawaziri wote kuhakikisha wanahudhuria katika vikao vya kamati za kudumu za bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Simu ya Prof. Lipumba ‘yakimbiza polisi’ 

SIMU iliyopigwa na Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ‘iliwapoza’...

Habari Mchanganyiko

Mama aliyejifungua watoto wanne apiga yowe

RADHIA Solomon (24), mzazi aliyejifungua watoto wanne kwa pamoja (mapacha) yupo kwenye wakati mgumu wa kukabili changamoto ya kumudu malezi ya watoto hao....

Habari Mchanganyiko

Bajeti 2019/20 yasheheni mipango lukuki

KATIKA mwaka wa fedha wa 2019/20 Serikali inakusudia kutumia bajeti ya shilingi tilioni 33,105.4 tofauti na bajeti mwaka wa fedha wa 2018/19 ambayo...

Habari Mchanganyiko

Wasonga atamani kuvaa viatu vya Fatma Karume

WAKILI wa Kujitegemea Godfrey Wasonga ametangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Urais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) huku akitangaza kufanya ushawishi...

Habari Mchanganyiko

Polisi wauwa majambazi watatu

JESHI la Polisi mkoani Kigoma limewauawa watu watatu wanaotuhumiwa kuwa majambazi huku wengine wawili wakitorokea kusikojulikana. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumzia kuhusu...

Habari za Siasa

Kamati za Bunge kufanya mapitio Bajeti 2019/20

KAMATI za Bunge la Jamhuri zitaanza kuketi leo tarehe 12 Machi 2019 kufanya kazi mbalimali ikiwa ni pamoja na kupitia matumizi ya Fedha...

Kimataifa

Kagame, Museven wakaribia kuzichapa  

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame (62), amemtuhumu “swahiba wake wa miaka mingi,” Rais wa Uganda, Yower Musseven, kwamba anapanga njama za kuangusha serikali...

error: Content is protected !!