Wednesday , 24 April 2024

Month: February 2019

Habari za Siasa

Sugu aeleza aibu ya Uwanja wa Ndege Mbeya

KIPINDI ambacho Uwanja wa Ndege wa Songwe, Mbeya unapogubikwa na ukungu, rubani hupata tabu kutua na wakati mwingine hulazimika hurudisha ndege Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Kuelekea 2020: Ndugai aanza kumpigia chapuo Rais Magufuli

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameanza kampeni ya kumnadi Rais John Magufuli. Ameagiza kuandaliwa muswada wa Bima ya Afya kwa wote, kabla ya...

Afya

Wananchi watakiwa kupima afya zao mara kwa mara

IKIWA leo tarehe 4 Februari 2019 dunia inaadhimisha siku ya saratani, serikali imeendelea kusisitiza wananchi kupima afya zao ili kukabiliana na ugonjwa huo....

Kimataifa

Madaktari Kenya kugoma tena

MUUNGANO wa Wauguzi nchini Kenya umepanga kufanya mgomo kuanzia leo Jumatatu tarehe 4 Februari 2019 ili kuishinikiza serikali ya nchi hiyo kuwalipa stahiki...

Kimataifa

Haya ni maajabu yake Mungu  

AMA kwa hakika duniani ni wawili wawili. Hivi ndivyo unavyoweza kusema pale utakapokutana na Cresencio Extreme pia Howard X kwenye mitaa ya Hong Kong. Vinaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli anadanganywa na wasaidizi wake – Silinde

DAVID Silinde, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Momba, mkoani Songwe amesema, Rais John Magufuli, amezunguukwa na watu...

Habari za SiasaTangulizi

Haihitajiki ‘damu mpya’ kuijenga Z’bar

WAZANZIBARI wanaoamini katika utawala mwema unaojali haki, ushirikishwaji na utu, wameshiriki kwa mara nyengine tukio la kukumbuka mauaji ya wananchi wenzao yaliyotokea miaka...

Habari za SiasaTangulizi

Rais wa TFF achafua hali ya hewa, Chadema wamvaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kauli ya ukakasi iliyotolewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Korosho: Mbunge ajiweka rehani

MBUNGE wa Nchinga kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Hamidu Hassan Bobali, ameituhumu serikali kudhulumu wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara na...

Habari Mchanganyiko

Njombe yatikiswa, mtoto mwingine auawa

MTOTO mwingine mwenye umri wa miaka Saba (7), ameuawa leo tarahe 2 Februari, kwa kuchinjwa shingo na watu wasiojulikana wilayani katika eneo la...

Habari za Siasa

Shilingi ya Tanzania yaporomoka

SHILINGI ya Tanzania kwa kipindi kuanzia Julai hadi Novemba 2018 iliporomoka ambapo Dola ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Sh. 2,276 ikilinganishwa na...

Habari za Siasa

Deni la taifa lazidi kupaa

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imewasilisha taarifa ya mwaka kuhusu utekelezaji wa majukumu yake katika kipindi cha Januari, 2018 hadi Januari 2019...

Habari za Siasa

Kashfa za serikali zalikwaza Bunge

BUNGE la Tanzania limeonesha kutoridhishwa na namna serikali inavyotekeleza wajibu wake wa kupeleka fedha za miradi kama ambavyo inapaswa kuwa.Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....

Habari za Siasa

Esther Bulaya: CCM waifilisi JKT

MBUNGE wa Bunda Mjini (CHADEMA), Esther Bulaya, “ameliamsha dude.” Amesema, serikali imekopa mabilioni ya shilingi mashirika ya umma, ikiwamo Jeshi la Kujenga la...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Chadema atoboa siri ya wizi wa Sh. 2.4 trilioni  

MBUNGE wa Viti Maalum mkoani Mara, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Catherine Ruge, “ameivua nguo serikali.” Amesema, kiasi cha Sh. 2.4...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Tril. 1.5 majibu ni haya

BUNGE limetoa ufafanuzi kuhusu ‘upotevu’ wa kisasi cha Sh. 1.5 trilioni zilizoelezwa kutojulikana matumizi yake katika Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa...

Kimataifa

Rais Kagame ‘bosi’ mpya EAC

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Kununua ya Africa Mashariki (EAC). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wajumbe wa mkutano...

Habari za Siasa

Bunge: Wadaiwa matrekta ya SUMA JKT wabanwe

SERIKALI inatakiwa kuchukua hatua dhidi ya wanasiasa wakiwemo wale waliostaafu ambao wameshindwa kurejesha mikopo ya matrekta waliyopata kutoka Shirika la Uzalishaji Mali linaloendeshwa...

Habari za Siasa

Bunge lataka waliochota Mil 888 wote asakwe

BUNGE limeitaka serikali iwachukulie hatua za kisheria wote waliotajwa katika ubadhilifu wa posho ya resheni (posho ya chakula) ya jumla ya Sh 888.5 ...

Habari Mchanganyiko

Mwanajeshi feki kijana anaswa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata mwanajeshi feki aliyekuwa akitumia sare za jeshi hilo kufanya uhalifu. Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

Ushirikina; Binti akutwa uvunguni mwa bibi yake hajitambui

TUKIO la Mwanafunzi wa Shuele ya Sekondari Ikinabushu (jina limehifadhiwa) kukutwa chini ya uvungu wa kitanda cha bibi yake, limetikisa viunga vya mji...

error: Content is protected !!