Friday , 29 March 2024

Day: February 20, 2019

Michezo

Yanga yavunja mwiko kwa Mbao FC

BAADA ya kupata ushindi wa mabao 2-1 klabu ya soka ya Yanga kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuondoka na pointi 3 mbele ya...

Habari Mchanganyiko

Uteuzi wa Rais Magufuli leo hii

RAIS John Magufuli amemteua Dk. Michael Ng’umbi kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW).Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Taarifa ya uteuzi huo...

Habari za Siasa

Barrick kulipa kiporo cha dola 300 mil

RAIS John Magufuli amefanya mazungumzo na Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold anayeshughulikia Afrika na Mashariki ya Kati, Dk. Willem Jacobs...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatupia lawama vyama vya ushirika ununuzi korosho

SERIKALI imetupia mzigo vyama vya ushirika kwa kutofanya kazi yao ipasavyo ya kuwasajili na kuwatambua wakulima wa korosho. Anaripoti Mwandishi Maalum…(endelea) Japhet Hasunga,...

Habari za Siasa

Chadema, serikali wavutana kuhusu Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kutishika na matamshi wanayodai kutolewa na mmoja wa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Tano na...

Michezo

Vigogo 14 kuiongezea nguvu Taifa Stars kufuzu AFCON

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza kamati ya watu 14 yenye lengo la kuisaidia timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba aanza kupotea

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, amemzidi kete, Prof. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Msajili...

Habari za Siasa

Kesi kupinga matokeo ya urais: Tanzania yapewa siku 45 kujitetea  

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepewa siku 45 na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu  (ACHPR) kupeleka majibu yake katika...

error: Content is protected !!