Saturday , 20 April 2024

Day: February 18, 2019

Habari Mchanganyiko

CWT yalalamikia Wilaya Chamwino kunyanysa walimu

CHAMA cha Walimu Chamwino mkoani Dodoma (CWT) kimelalamikia walimu kufanyishwa kazi siku za mapumziko ya mwisho wa wiki bila malipo. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za Siasa

Lipumba chali, Maalim Seif aanza kumpekua

PROFESA Ibrahimu Lupumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ameangukia pua. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko ‘ngoma bado mbichi’

MAHAKAMA ya Rufani leo tarehe 18 Februari 2019 imeanza kusikiliza rufaa ya serikali ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kusikiliza rufaa ya...

Tangulizi

Rufaa ya Mbowe ulinzi mkali waimarishwa

ULINZI makali umeimarishwa na Jeshi la Polisi na Magereza kwenye Mahakama ya Rufani wakati mahakama hiyo ikijiandaa kutoa uamuzi wa rufaa ya Freeman Mbowe na...

Habari za Siasa

Fatuma Karume: Naachia ngazi TLS

FATUMA Karume, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) hatogombea tena nafasi hiyo baada ya kustaafu Aprili mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba, Maalim Seif nani kununa leo?

UAMUZI utakaofikiwa leo tarehe 18 Februari 2019 na Jaji Benhajj Masoud wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kuhusu wajumbe halali wa...

error: Content is protected !!