Friday , 29 March 2024

Day: February 15, 2019

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea atoa neno zito, agawa madawati

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amekabidhi madawati 290 yatakayotumika katika shule za Msingi na...

Michezo

TFF yaridhia ombi la Yanga, Ninja kuivaa Simba

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Wakili, Kiomoni Kibamba imeridhia ombi la Yanga kuahirisha...

Habari Mchanganyiko

Mgogoro wa miaka 40 wapatiwa ufumbuzi

MGOGORO uliodumu kwa zaidi ya miaka 40 kati ya jeshi la Polisi na Wananchi wa mitaa miwili ya Songambele na Kigoto mkoani Mwanza...

Habari za Siasa

Viongozi Serikali ya mitaa watakiwa kushirikiana na wananchi

MBUNGE wa Bahi, Omary Badwel (CCM) amewataka viongozi wa serikali za mitaa kujenga tabia ya kuwashirikisha wananchi wao pale wanapohitaji kuanzisha miradi mipya....

Habari za Siasa

Mpambano mzito Ndugai vs Zitto

KESI ya kikatiba inayohusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Mamlaka ya Bunge kuhoji wenye kinga...

error: Content is protected !!