Saturday , 20 April 2024

Day: February 14, 2019

Habari za Siasa

Chadema yaibua maswali tata kauli ya Lugola

MSUGUANO kati ya Serikali ya Jamhuri na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhusu Tundu Lissu unaendelea ambapo sasa Chadema inahoji maswali matatu...

Habari za Siasa

Chadema: Tundu Lissu ana baraka zetu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinakubaliana na ziara anazofanya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu nje ya nchi. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za Siasa

Rufaa yawakwamisha Mbowe, Matiko

UAMUZI wa Rufani ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema)-Taifa na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime vijijini umekwamisha usikilizwaji wa kesi...

Michezo

Wambura ‘kilio’, arejeshwa mahabusu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali pingamizi la upande wa utetezi kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Makamu wa Rais wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Ninamashaka na wanaotaka nirejee

MWANASIASA mashuhuri nchini na ambunge wa upinzani katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, ametilia mashaka “uadilifu” wa watu wanaomng’ang’aniza kurejea nyumbani. Anaripoti...

Habari za Siasa

Masikini Mwigulu! Bado yupo kitandani

MWIGULU Nchemba, Mbunge wa Iramba Magharibi bado yupo kitandani katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma akitibiwa baada ya kupata ajali ya gari. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mkakati kumvua Lissu ubunge wavuja     

MKAKATI wa kumvua ubunge, Mwasheria Mkuu wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (CHADEMA) na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni, Tundu...

error: Content is protected !!