Daily Archives: February 11, 2019

Mmiliki wa Mwendokasi kizimbani kwa uhujumu uchumi

MKURUGENZI wa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na wenzake watatu wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa madai ya kuhujumu uchumi. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

‘Ulissu’ wamponza Michael Wambura

MICHAEL Richard Wambura, aliyepata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), amepandishwa kizimbani jijini Dar es Salaam. Ameshitakiwa kwa makossa kumi na saba (17), yakiwamo ya ...

Read More »

Hospitali ya Benjamini Mkapa kuzindua maabara ya Moyo

HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH), kesho inatarajia kuzindua rasmi maabara ya upasuaji magonjwa ya moyo ikiwemo matundu na kuziba kwa mishipa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza leo tarehe ...

Read More »

Lissu abadili upepo siasa za CCM

SIASA ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinazidi kuchukua sura mpya baada ya  kujielekeza kwenye  mashambulizi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). CCM imeanza utaratibu wa kumshambulia Tundu Lissu, Mbunge wa Singida ...

Read More »

Kuziona Simba, Yanga Sh. 7,000

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu unaowakutanisha watani wa jadi Yanga na Simba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, ...

Read More »

Amber Ruth akana kufanya ngono kinyume cha maumbile

SERIKALI imekamilisha upelelezi wa kesi ya kufanya ngono kinyume na maumbile inayomkabili msanii Rutyfiya Aboubakary ‘Amber Ruth’ na mumewe Said Mtopali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Anaripoti Regina Mkonde ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram