SERIKALI ya Rais John Pombe Magufuli, sasa imeamua “kula matapishi yake.” Jumamosi wiki hii, inarudi tena bungeni kuwasilisha mabadiliko mengine kwenye Sheria Mpya...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2019Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba na mwekezaji mkuu wa timu hiyo Mohammed Dewji ‘MO’ ametangaza kiingilio cha shilingi 2000,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetilia shaka maelezo ya Jeshi la Polisi kuhusu mauaji ya kijana Isaka Petro aliyofanyika katika Kanisa la Sabato wilayani Itigi,...
By Faki SosiFebruary 8, 2019BAADHI ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri wamehoji lini serikali itaweka hadharani majina ya waliokopa matreka ili wajulikane? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(Dodoam). Alhaji Abdallah...
By Danson KaijageFebruary 8, 2019TABIA ya baadhi ya watendaji wa serikali kupuuza maagizo ya Rais John Magufuli kumemkera Mbunge wa Viti Maalum Chadema. Anaripoti Tibason Kaijage, Dodoma…(endelea). Devotha...
By Danson KaijageFebruary 8, 2019SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema) ameihoji serikali kwamba, ni lini itafufua nakuwa imara zaidi Kiwanda cha Urafiki ili kifanye kazi kwa maslahi...
By Danson KaijageFebruary 8, 2019MSHAMBULIAJI Dickson Ambundo wa klabu ya Alliance Accademy na Kocha Mkuu wa KMC, Etiene Ndayiragije wameibuka vinara kwenye tuzo za mwezi Januari zinazotolewa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2019WANAFUNZI 2,615 wa Shule ya Msingi Kanindo iliyopo Kata ya Kishili jijini Mwanza wanalazimika kusoma kwa zamu ili kuachiana vyumba vya madarasa vilivyopo kitendo ambacho kinaonekana...
By Moses MsetiFebruary 8, 2019Katika kuhakikisha usafiri wa majini unaimarika, serikali imetenga kiais cha Sh. bilioni 5 katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya ukarabati na kununua vivuko pindi...
By Moses MsetiFebruary 8, 2019ENEO la Mbagala na viunga vyake linatarajiwa kunufaika na mradi wa mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) unaotarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea)....
By Bupe MwakitelekoFebruary 8, 2019