Daily Archives: February 7, 2019

Njama za kumnyima mshahara wa ubunge Lissu hizi hapa

KUNA njama zinasukuwa na ofisi ya Bunge za kutomlipa mshahara, posho na stahiki nyingine, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu. Anaripoti ...

Read More »

Fatma Karume aivuruga Mahakama

MHIMILI wa Mahakama nchini, “umenajisiwa.” Kwa mara ya kwanza katika historia yake, chombo hicho kikuu katika utoaji haki kwenye Jamhuri ya Muungano, kimegoma kupokea hotuba ya Rais wa Chama cha ...

Read More »

Mwendokasi kubadili maisha Mbagala

ENEO la Mbagala na viunga vyake linatarajiwa kunufaika na mradi wa mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) unaotarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Matumaini ya kuanza kwa ujenzi ...

Read More »

Mahakama yamkubalia Mdee shingo upande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali shingo upande sababu za Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kushindwa kuhudhuria kesi yake leo 7 Februari 2019. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mdee alitakiwa ...

Read More »

Magufuli apingwa mahakamani

FATMA Karume, Wakili na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) anaongoza mawakili wenzake upande wa mashtaka kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu Serikali (AG), Dk. Adelardus Kilangi uliofanywa na Rais ...

Read More »

Rais Magufuli: Sijaingilia uhuru wa Mahakama

RAIS John Pombe Magufuli, amedai kuwa hajawahi kuingilia utendaji wa kazi za muhimili wa Mahakama. Amesema, “katika uongozi wangu, sijaingilia muhimili wa Bunge wala Mahakama.” Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Akizungumza leo tarehe ...

Read More »

Tanesco hoi kwa madeni

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme la taifa (Tanesco), linakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni kutoka kwa makampuni ya kufua umeme. Hadi Januari mwaka jana, deni la Tanesco lilikuwa limefikia kiasi ...

Read More »

Hospitali ya Benjamini Mkapa yaanza kutibu ugonjwa wa selimundu

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Magonjwa ya Kibingwa ya Benjamini, Dk. Alphonce Chandika amesema, hospitali hiyo inatarajia kuanza kutibu ugonjwa wa selimundu kwa kupandikiza uume usiokuwa na maambukizi ifikapo mwaka ...

Read More »

Serikali: ZFA inapokea fedha kutoka TFF si FIFA, CAF

NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amesema, Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA) haliwezi kupokea moja kwa moja fedha za misaada kutoka Shirikisho la Mpira wa ...

Read More »

Kauli yake dhidi ya Magufuli, Mdee kupanda Kisutu tena

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe, jijini Dar es Salaam leo anapanda tena kizimbani kuendelea na shauri lake kuhusu kutoa lugha chafu dhidi ya Rais John Magufuli alilofunguliwa mwaka 2017. Anaripoti ...

Read More »

Heche, Zitto waivuruga serikali

MBUNGE wa Tarime Vijijini (CHADEMA/UKAWA), John Heche, amezua tafrani bungeni, kufuatia hatua yake ya kuituhumu serikali kuwa imejifunga kwenye mkataba wa kitapeli na kampuni ya Arab Contractors. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram