Daily Archives: February 6, 2019

Mkakati wa serikali kwa bodaboda ni huu

SERIKALI imeainisha mikakati mitano inayofanya katika kuwajengea uwezo waendesha bodaboda ukiwemo faida za kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na Antony ...

Read More »

Udhaifu vituo vya utafiti wamuinua Sugu bungeni

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) kutoka Chadema ameiomba serikali kueleza ni lini itatenga fedha za kutosha kwa ajili ya kufufua vituo vya utafiti kama vile Chuo cha Utafiti ...

Read More »

Sheria zote za nchi sasa kuwekwa mtandaoni

OFISI ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali imetakiwa kuweka sheria za nchi mitandaoni ili wananchi waweze kuzisoma na kuzielewa kwa urahisi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Ombi hilo limetolewa leo tarehe 6 Februari ...

Read More »

Bunge lazidi kuikaanga serikali ya Magufuli

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imetoa mapendekezo 19 kwa serikali, yanayohitaji kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa na ...

Read More »

Rais Magufuli azindua mahakama inayotembea

RAIS John Magufuli amezindua huduma ya mpya ya mahakama inayotembea barabarani ili kurahisisha huduma ya upatikanaji wa haki. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Dk. Magufuli amezindua huduma hiyo leo tarehe ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram