Daily Archives: February 4, 2019

Ndugai amtisha Heche Tarime Vijijini

JOB Nduga, Spika wa Bunge la Jamhuri amemtisha John Heche, Mbunge wa Tarime Vijijini kwamba, uchaguzi mkuu ujao jimbo hilo litarudi CCM mapema. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Ndugai ...

Read More »

Nape  Nnauye ajiuzulu

NAPE Nnauye, amejiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii. Kujiuzulu kwake, kunatokana kile kinachoitwa, “kugoma kunyofoa baadhi ya taarifa kwenye ripiti ya kamati yake.” Anaripoti ...

Read More »

Kesi ya uchochezi; Mahakama yamtaka mdhamini wa Lissu

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Thomas Simba ameagiza wadhamini wa Tundu Lissu katika kesi inayohusu tuhuma za uchochezi kupitia gazeti la MAWIO, wafike mbele yake na ...

Read More »

Simba yatua Dar kwa mafungu

BAADA ya kupoteza mchezo wao wa pili mfululizo kwa kufungwa 5-0 na Al Ahaly ya Misri mwishoni mwa wiki, katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika hatua ya makundi, Timu ya ...

Read More »

Mwambe ataka kuundwa Kamati ya Bunge kuchunguza ujenzi wa Viwanda  

MBUNGE wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe, amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuunda Kamati Maalum ya Bunge, ili kuchunguza utekelezaji wa sera ya serikali ya “taifa la viwanda.” Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Mauaji ya watoto Njombe yasisimua Bunge, serikali kujieleza

BUNGE limeitaka serikali kuandaa na kutoa taarifa kuhusu mauaji yanayoendelea mkoani Njombe tangu kuanza kwa mwaka huu 2019. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ameitaka serikali ...

Read More »

Serikali: Bei ya korosho ni 3,300 – 2,640

SERIKALI ya Jamhuri imeeleza kuwa, bei inayotumika kununua korosho za wakulima ni Sh. 3,300 kwa zile za gredi ya kwanza na 2,640 kwa korosho za gredi ya pili. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Sugu aeleza aibu ya Uwanja wa Ndege Mbeya

KIPINDI ambacho Uwanja wa Ndege wa Songwe, Mbeya unapogubikwa na ukungu, rubani hupata tabu kutua na wakati mwingine hulazimika hurudisha ndege Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ndege hushindwa ...

Read More »

Kuelekea 2020: Ndugai aanza kumpigia chapuo Rais Magufuli

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameanza kampeni ya kumnadi Rais John Magufuli. Ameagiza kuandaliwa muswada wa Bima ya Afya kwa wote, kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti ...

Read More »

Wananchi watakiwa kupima afya zao mara kwa mara

IKIWA leo tarehe 4 Februari 2019 dunia inaadhimisha siku ya saratani, serikali imeendelea kusisitiza wananchi kupima afya zao ili kukabiliana na ugonjwa huo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wito huo ...

Read More »

Madaktari Kenya kugoma tena

MUUNGANO wa Wauguzi nchini Kenya umepanga kufanya mgomo kuanzia leo Jumatatu tarehe 4 Februari 2019 ili kuishinikiza serikali ya nchi hiyo kuwalipa stahiki zao ikiwemo marupu rupu. Inaripoti Mitandao ya ...

Read More »

Haya ni maajabu yake Mungu  

AMA kwa hakika duniani ni wawili wawili. Hivi ndivyo unavyoweza kusema pale utakapokutana na Cresencio Extreme pia Howard X kwenye mitaa ya Hong Kong. Vinaripoti vyombo vya kimataifa … (endelea).  Watu hawa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram