Friday , 19 April 2024

Month: February 2019

Habari za Siasa

Fundo rufaa ya Mbowe, Matiko kufunguliwa

HATMA ya rufaa ya Freeman Mbowe, Mwenyekti wa Chadema Taifa na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini itajulikana kesho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari MchanganyikoMichezo

Dudubaya ashikiliwa na Polisi

JESHI la Polisi limeanza kumhoji msanii Godfrey Tumani maarufu kama ‘Dudubaya’ kufuatia tuhuma zinazomkabili za kumdhihaki aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds...

Habari za SiasaTangulizi

Msiba wa Ruge wakwamisha kesi ya Halima Mdee

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha usikilizaji wa kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, kufuatia shahidi wa upande wa mashitaka...

Habari Mchanganyiko

Tabia hii ya Ruge ndiyo ilimvutia JPM, Majaliwa

KIFO cha Ruge Mutahaba, aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG) kimeibua sifa zilizojificha. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Namna Ruge alivyokuwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kiwanda cha Bora chateketea kwa Moto

KIWANDA cha Bora kilichopo maeneo ya Tazara, barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam kinawaka moto. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa za...

Afya

Waziri Ummy awaita wadau sekta ya afya

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  ameishauri jamii kuwa na utaratibu na utamaduni wa kuchangiana kwenye matibabu pindi...

Habari za Siasa

Vurugu za wafugaji, wakulima zafukuta Kongwa

WAKULIMA zaidi ya 70 wakiwemo watoto, wanafunzi pamoja na wanawake wamefanya maandamano ya amani kwa lengo la kuonana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

Habari za Siasa

Serikali za Mitaa zaonywa matumizi ya fedha

MAMLAKA za Serikali za Mitaa nchini zimetakiwa kuhakikisha kuwa fedha zote zinazokusanywa katika mapato zinawekwa benki na fedha hizo zitumike katika kutekeleza matumizi...

Habari Mchanganyiko

Ruge, naomba nisikilize kidogo

NDUGU yangu Ruge, najua ndio umewasili huko upande wa pili na si ajabu una mambo mengi na bado unasalimiana na jamaa zetu wengi...

Michezo

Ruge amponza Dudubaya, Waziri atoa maagizo mazito

HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kumchukulia hatua msanii, Godfrey Tumaini maarufu kama...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi akwamisha tena kesi ya Zitto Kabwe

SHAHIDI wa Serikali katika kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo amekwamisha tena kesi hiyo kwa kinachodaiwa kuwa amepata dharura iliyomfanya...

Habari Mchanganyiko

Walichoandika Rais Magufuli, Kikwete na wanasiasa kufuatia kifo cha Ruge Mutahaba

SALAMU za majonzi za watu mbalimbali mashuhuri wakiwemo viongozi wa serikali, vyama vya siasa na wasanii zimeendelea kuelekekezwa kwa Familia ya Mwanahabari mashuhuri...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM alikoroga, wananchi wamjia juu

EMMANUEL Papian, Mbunge wa Kiteto kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuukana ukweli mbele ya kadamnasi. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Rais Buhari ashinda uchaguzi Nigeria

RAIS wa Nigeria, Muhamadu Buhari ameshinda katika matokeo ya awali ya kinyang’anyiro cha uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi ya tarehe 23 Februari 2019...

Habari Mchanganyiko

DART yataja sababu za uhaba wa mabasi

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART) imekiri uwepo wa uhaba wa mabasi katika vituo vikuu vya Kimara na Gerezani. Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ruge Mutahaba afariki dunia, Rais Magufuli amlilia

MKURUGENZI wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia leo nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Khalifa Abdallah...

Habari Mchanganyiko

Baada ya miezi minane mochwali, mwili kuzikwa wiki hii

FAMILIA ya marehemu Frank Kapange imeamua kuchukua mwili wa kijana wao uliohifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kwa zaidi ya miezi minane...

Habari za SiasaTangulizi

Kambi Maalim Seif waiangukia mahakama

WABUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF), wamelalamikia hatua ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, kuchelewa kutoa maamuzi kwenye mashauri kadhaa yaliyofunguliwa na...

Afya

China, Tanzania kuboresha upasuaji ubongo MOI

RAIS John Magufuli amefanya mazungumzo na Profesa Zhao Yuanil, Mkuu wa Idara ya Upasuaji wa Ubongo na Mishipa kutoka China kuhusu uboreshaji huduma...

Habari za Siasa

Walevi wa ngono kukiona  

WATU wanaopenda kufanya ngono na wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchini sasa kukamatwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kazi ya kuanza kukabiliana...

Habari za Siasa

Polisi wapeleka majonzi Chadema

JESHI la Polisi mkoani Morogoro limewasaka, kuwanasa na kisha kuwapandisha kizimbani wabunge wawili kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu Morogoro…(endelea).  ...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yaiomba Benki ya Dunia dola 100 Mil.

SERIKALI imeiomba Benki ya Dunia (W.B)  msaada wa fedha kiasi cha dola 100 milioni kwa ajili ya kukamilisha mradi wa ujenzi wa bonde...

Habari Mchanganyiko

Polisi wakamata sampuli ya madini

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linashikilia lori aina ya fuso lililokuwa linasafirisha sampuli za madini 883, zilizowekwa kwenye ndoo 226 kutoka mkoani Geita...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu anusurika kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imekataa ombi la serikali kutaka itolewe hati ya kukamatwa mwanasiasa wa upinzani nchini, Tundu...

Makala & UchambuziTangulizi

“Haki inayocheleweshwa ni haki inayonyimwa.”

NI wachache kati ya wananchi wanaokuwa kwenye ukumbi wa mahakama huendelea kutarajia kusikia hukumu ya kesi wanayoifuatilia baada ya kumuona asiyekuwa jaji msikilizaji...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee achomoka mahabusu

HALIMA Mdee, Mbunge wa upinzani katika jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam amepata dhamana leo baada kukaa ndani kwa saa 24. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Lukuvi alilia wasaidizi wake waliofariki Ifakara

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi amewapa pole ndugu na jamaa waliofiwa kwenye ajali iliyotokea jana tarehe 23 Februari 2019 Ifakara...

Habari za Siasa

Kubenea kutumia Sh. 15 mil, kukarabati soko la Manzese  

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ameahidi kusaidia kiasi cha Sh. 15 milioni ili kufanyia ukarabati wa soko la kuku lililopo katika kata...

Habari za Siasa

Kubenea ashtukia ufisadi wa Mil.100 soko la Manzese

ZIARA  ya Saed Kubenea Mbunge wa Jimbo la Ubungo amebaini ufisaidi wa Sh. 100 milioni kwenye machinjio ya kuku kwenye soko la Manzese....

Michezo

Simba yamtimua kocha wa Azam FC

KIPIGO cha mabao 3-1 waliofungwa na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kimesababisha klabu ya Azam FC kuachana na kocha wake,...

Habari za Siasa

Zitto aanzisha mashambulizi CCM, serikali

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ameivaa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba ni katili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwenye ukurasa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge mwingine wa upinzani akamatwa

MBUNGE wa upinzani katika jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam, Halima James Mdee, anashikiliwa na jeshi la polisi nchini. Anatuhumiwa kutoa kauli...

Habari Mchanganyiko

Msako wa kuwakamata waganga wa kienyeji watangazwa

JESHI la Polisi nchini limetangaza msako wa kuwakamata na kuwadhibiti waganga wa tiba asili wanaojihusisha na vitendo vya upigaji wa ramli chonganishi zinazochangia...

Habari za Siasa

Sumaye apokea msaada wa Pikipiki

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Kanda ya Pwani, kimekabidhiwa pikipiki nne kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

Habari za Siasa

Halima Mdee: Nimeitwa polisi, sijui kuna nini?

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti  wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), amepokea wito wa Kamanda wa Upelelezi (RCO) Mkoa wa Kipolisi...

Habari Mchanganyiko

Waliochoma Kituo cha Polisi  Bunju A wafungwa maisha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Februari 2019 imewafunga maisha jela watu wanane baada ya kukutwa na...

Habari Mchanganyiko

JPM atuma salamu za rambirambi vifo vya watu 19 Songwe

RAIS John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza ndugu na jamaa zao katika ajali ya barabara iliyotokea wilayani Mbozi mkoa wa...

Habari za Siasa

Vitambulisho vya ujasiriamali ni bomu-Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelalamikia uanzishwaji wa mradi wa serikali wa ugawaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo na kwamba, ni bomu linalosubiriwa...

Habari Mchanganyiko

Jinsi Askari Magereza alivyoua binti mahakamani

NEEMA Andrew (umri 22-25) ameuwawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza ndani ya viwanja vya Mahakama ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina...

Michezo

Kocha Zahera: Naondoka Yanga SC

MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, anaumizwa na tabia ya wana Yanga kushindwa kuisaidia klabu yao, na sasa ataondoka. Anaripoti Mwandishi Maalum...

Habari za SiasaTangulizi

CUF Maalim: Tunahofia Jaji ametishwa

CHAMA cha Wananchi (CUF), kinachoongozwa na Maalim Seif Sharif Hamad, umedai kuwa kuna mkakati unaopangwa na baadhi ya maofisa wandamizi wa serikali, kumshinikiza...

Habari Mchanganyiko

Ajali mbaya yatokea Songwe, yaua abiria wote

WATU 19 wamepoteza maisha kutokana na ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Senjele mkoani Songwe. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Sugu achomoka kwa dhamana, kutinga polisi leo

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu)-Chadema jana jioni alifanikiwa kupata dhamana baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya asubuhi ya...

Makala & UchambuziTangulizi

Nani aweza kumuamini tena Prof. Lipumba?

Na Saed Kubenea PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuwa ndiye mwenyekiti wa Chama...

Habari za Siasa

Waziri azuia wananchi kumpongeza Rais Magufuli

LUHAGA Mpina Waziri wa Mifugo na Uvuvi,  amepiga marufuku makongamano ya wafugaji ya kumpongeza Rais John Magufuli,  kwa muda mpaka pale kazi waliyopewa...

Kimataifa

‘Hiki ndio kilio kikuu cha Wapalestina’

PALESTINA haihitaji kupendelewa, kubebwa wala kubembelezwa bali inahitaji haki yake na hiki ndio itasimamia milele. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akizungumza na waandishi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama kuhitimisha safari ya Prof. Lipumba kisiasa?

KESHO tarehe 22 Februari 2019, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, anaweza kuhitimisha...

error: Content is protected !!