Daily Archives: January 5, 2019

Bil. 1.7 zakosa mkopaji Dodoma

MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi amewataka vijana, akina mama na watu wenye ulemavu kuanzisha vikundi na kuweza kupatiwa mikopo kwa ajili ya maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Mchungaji awakumbuka wanafunzi wasiojiweza

KANISA la Tanzania Asembless of God (TAG) la Swaswa halisi limewahimiza wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule kwa wale wenye umri wa kwenda shule. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »

Hospitali ya Mkapa kufanya upasuaji wa tezi dume kisasa

KWA kipindi ya miezi nane yaani Machi hadi Desemba mwaka jana Hospitali ya Benjamini Mkapa imewatibia wagonjwa 187 wa tezi dume. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa na ...

Read More »

Kocha Simba achukizwa na kambi Zanzibar

KOCHA mkuu wa klabu ya Simba Patrick Aussems ameonekana kutovutiwa na maandalizi ya timu yake visiwani Zanzibar katika kuelekea mchezo wa hatua ya makundi ya kombe la Ligi ya Mabingwa ...

Read More »

Waziri wa zamani wa Z’bar kuundiwa zengwe la uhaini

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano inamuandalia Mansour Yussuf Himid mashitaka ambayo akishasomewa mbele ya mahakama atapelekwa gerezani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mansour aliyekuwa waziri na mjumbe wa halmashauri kuu ...

Read More »

Waitara aanza mbio za kutaka kumng’oa Heche

MBUNGE wa Ukonga (CCM), Mwita Mwaikabe Waitara, ameanza kampeni za “kumdhoofisha” na hatimaye kumng’oa, hasimu wake mkuu kisiasa, mbunge wa Chadema katika jimbo la Tarime Vijijini, John Heche. Anaripoti Yusuph ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram