Daily Archives: January 2, 2019

Wizara ya Afya wapinga unyanyasaji wa watoto

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imelaani na kukemea vikali vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyoendelea kujitokeza nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tamko la ...

Read More »

Nyongeza kahawa ya Karagwe ni TZS 106/= kwa kilo

CHAMA cha Ushirika wa Wakulima wa Kahawa Karagwe na Kyerwa (KDCU) kinadaiwa kuwatangazia wakulima kwamba watapata malipo ya nyongeza mwezi huu wa Januari 2019, ambapo ngongeza ni kiasi cha TZS ...

Read More »

Somalia yamtimua mjumbe wa Umoja wa Mataifa

SERIKALI ya Somalia imemfukuza Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa (U.N) nchini humo, Nicholas Haysom kwa sababu ya kuingilia mambo ya ndani ya taifa hilo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … ...

Read More »

Bulaya amvaa tena Rais Magufuli, amwambia hajamaliza kazi

BAADA Ya Rais John Magufuli kufuta kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya watumishi wa umma iliyotokana na Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na. ...

Read More »

Ester Bulaya amtaka ‘waziri wa kikokotoo ang’oke’

MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amemtaka Rais John Magufuli kumfukuza kazi Waziri wa Sera, Bunge, Ajira, Vijana, na Walemavu, Jenista Mhagama, kwa sababu ya kutunga kanuni mpya ya kikokotoo ...

Read More »

Abdul Nondo arejea UDSM

ZIMEBAKI siku mbili kwa Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) kurejea chuoni (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM) baada ya hekaheka na hata kusimamishwa chuo. Anaripoti Faki ...

Read More »

Mchungaji: Mkristo kukwepa kodi ni dhambi kubwa

MCHUNGAJI Kiongozi wa kamisa la Evangelisim Assembless Of God Tanzania (EAGT) Ipagala, Evanci Chande amewaonya wakristo wafanyabiashara ambao wamekuwa wakikwepa kulipa kodi ya serikali. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram