Monthly Archives: January 2019

Lissu, Chadema wamsuta Spika Ndugai

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemjibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kuhusu ya matibabu ya mbunge wake wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Spika Ndugai: Bunge limemlipa Lissu mamilioni

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri, ameueleza umma kuwa, Tundu Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki amelipwa Sh. 250 milioni na taasisi hiyo (Bunge). Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). Ndugai ...

Read More »

Zitto ‘akoga’ mashambulizi ya Spika Ndugai 

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 31 Januari 2019 ‘amekoga’ mashambulizi ya moja kwa moja kutoka kwa Job Ndugai, Spika wa ...

Read More »

Mbowe yupo fiti, atinga mahakamani

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amefika leo tarehe 31 Januari, 2019 kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuhudhuria kesi inayomkabili yeye na viongozi waandamizi wa ...

Read More »

Kichuya kutimkia Misri

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya huenda akatimka ndani ya klabu yake muda mchache ujao na kujiunga na timu ya Pharco inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Misri. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

Watanzania  jela miaka 15 kwa ugaidi Kenya

WATANZANIA watatu kutoka visiwani Zanzibar, Idarous Abdirahman (32), Islah Juma (22) na Mbarouk Adibu (34) wamefungwa miaka 15 jela kila mmoja nchini Kenya,  kwa kosa la kujihusisha na vitendo vya ...

Read More »

Spika Ndugai: Nilimchapa viboko mpinzani wangu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, amekiri kumshambulia kwa fimbo Dk. Joseph Chilongani, ambaye aliyekuwa mmoja wa washindani wake wenye nguvu wakati wa kinyang’anyiro cha kuwania kuteuliwa kuwa mgombea ...

Read More »

Biteko aanza cheche, amsimamisha Afisa madini

WAZIRI wa Madini Dotto Biteko amefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi ya kuchenjua madini iliopo eneo la Kizota mkoani hapa na kubaini madudu yanayofanywa na wafanyakazi wake, huku Katibu Mkuu ...

Read More »

Serikali kuvuna Bil 418 za korosho

SERIKALI imeanza kuingia mkataba wa mauzo ya korosho na wafanyabiashara ambapo tayari jumla ya tani 100,000 za zao hilo zimepata mteja. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kampuni ya Indopower Solutions ya ...

Read More »

Mvumbuzi Tanzanite afariki Dunia

MZEE Jumanne Ngoma, mvumbuzi wa Tanzanite amefariki dunia. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Taarifa ya familia yake inaeleza kuwa Mzee Ngoma alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ...

Read More »

Mbowe, Matiko mahakamani tena

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko, kesho Alhamisi, tarehe 30 Januari, wanarudi tena kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...

Read More »

Kakolanya aishika pabaya Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga umekili kupokea barua kutoka kwa mwanasheria wa mlinda mlango wao Benno Kakolanya kutaka kuvunja mkataba na timu hiyo licha ya kulipwa stahiki zake zote alizokuwa ...

Read More »

Kamati ya Bunge yaonesha huruma kwa wananchi  

WABUNGE wamejadili na kupitisha miswada miwili ukiwamo wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini, huku kamati ya Bunge ikikataa kiwango cha adhabu na vifungo vikubwa kwenye sheria hiyo na kushauri vipunguzwe ...

Read More »

Uungu’ wa Msajili wa Vyama kuanza na Lissu, Zitto  

NGUVU za kimamlaka zilizowekwa kwenye sheria ya vyama vya siasa na kupigiwa chapuo na baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zaweza kutumika kuwashughulikia baadhi ya wanasiasa mashuhuri wa ...

Read More »

Mch. Msigwa amchongea Mkuu wa Mkoa kwa Lukuvi

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) amemshitaki Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi kwamba amekuwa akiwaruhusu ...

Read More »

Mkakati wa kutokomeza ukatili wa watoto waiva

SERIKALI imesema kuwa inaandaa mpango kazi wa taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto (2017/18-2121/22) ambao miongoni mwa shabaha zake ni kuhakikisha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi wakiwemo ...

Read More »

Serikali yatenga Bil 4.5 kuisaidia hospitali ya Tarime

SERIKALI imesema kuwa jumla ya wananchi 367,985 wa halmashauri ya wilaya ya Tarime wanapata huduma za afya katika hospitali ya wilaya hiyo Tarime Mjini pamoja na vituo vya afya nane, ...

Read More »

Wauaji wa watoto Njombe wabainika

SERIKALI imesema tayari vyombo vya usalama vimeshawabaini watu wanaodaiwa kutekekeza mauaji ya kikatili ya watoto 10 katika Wilaya ya Njombe ambayo yametokana na imani za kishirikina. Anaripoti Danson Kaijage, kutoka ...

Read More »

Sugu amshauri Rais Magufuli kumhamisha RC wa Mbeya

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kama angepata nafasi ya kumshauri Rais John Magufuli, angemshauri kumteua aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkuu wa ...

Read More »

Mufti wa Tanzania afiwa na mkewe

MUFTI wa Tanzania, Aboubakar Zubeir amefiwa na mke wake mkubwa anayefahamika kwa jina la Mama Shafi. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ya kifo hicho imetolewa leo tarehe 30 Jnauari ...

Read More »

Muswada Vyama vya Siasa wapita, wazua sintofahamu

BUNGE la Jamhuri, jana tarehe 29 Januari 2019, limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa (2018), katikati ya msuguano mkali kati ya wabunge wa vyama vya upinzani ...

Read More »

Kubenea, Zitto, waisambaratisha Serikali kwenye Muswada wa Vyama vya Siasa

MBUNGE  wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea amewavaa vigogo watatu wanasheria kuwa wamepeleka bungeni Muswada wa Marekebisho wa Vyama vya Siasa wa mwaka 2018, unavunja Katiba. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Kubenea aikalia kooni Serikali Muswada wa Vyama vya Siasa

MBUNGE  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amewavaa vigogo watatu ambao ni wanasheria nguli nchini kwa kupeleka muswaada wa sheria ya vyama vya siasa ...

Read More »

Vigogo wa NIDA wasomewa mashtaka 100 Kisutu

DICKSON Maimu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na wenzake watano wasomewa mashtaka mapya 100 kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na shitaka na uhujumu ...

Read More »

CCM, UKAWA watafunana Muswada wa Vyama vya Siasa

WABUNGE kutoka chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale kutoka vyama vya upinzani wameanza kumenyana kuhusu Muswada mpya wa Vyama vya Siasa uliowasilishwa bungeni leo tarehe 29 Januari 2019. Anaripoti ...

Read More »

Wapinzani wajibu mashambulizi Muswada Vyama vya Siasa

MUSWADA wa Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya siasa umetua bungeni leo huku Kambi Rasmi ya Upinzani ikianisha hoja zake kupinga muswada huo. Anaripoti Tibason Kaijage…(endelea) Akiwasilisha bungeni leo tarehe 29 ...

Read More »

Bundi azua taharuki bungeni, Ndugai atoa neno

NDEGE aina ya bundi amekutwa ndani ya Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kuzua taharuki leo asubuhi tarehe 29 Januari 2019. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). Baadhi ya wabunge na wageni waliofika bungeni ...

Read More »

DC, RC wamkera Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amevunja ukimya kuhusu vitendo vya baadhi ya wakuu wa wilaya na mikoa kuwaweka rumande raia. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza katika hafla ya uapisho wa majaji ...

Read More »

Korosho yamwinua Nape, Nchuma bungeni

KIKAO cha 14 cha Bunge la Jamhuri kimeanza leo tarehe 29 Januari 2019 ambapo pamoja na shughuli zingine, wabunge wameuliza maswali mbalimbali. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Maftaha Nachuma, ...

Read More »

Zitto akwama Kisutu

SHAHIDI wa Serikali kwenye kesi ya uchechezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo amekwamisha usikilizwaji wa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kutokana na ...

Read More »

Mtolea aonja jeuri ya upinzani bungeni

ABDALLAH Mtolea, Mbunge wa Temeke ameapishwa leo tarehe 29 Januari 2019 bungeni mbele ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wa CUF Kambi ya Prof. Ibrahim Lipumba pekee. Anaripoti ...

Read More »

1.5 Trilioni zipo wapi?

SI Bunge wala wananchi wanaojua kiasi cha Sh. 1.5 Trilioni ambazo hazikuonekana kwenye Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ya 2016/17 zilipo. Anaripoti Yusuph Katimba…(endelea).   Serikali kwenye ...

Read More »

Bungeni; Ni Serikali vs Wananchi  

Naibu Spika Job Ndugai

MKUTANO wa 14 wa Bunge la Jamhuri unaanza leo tarehe 29 Januari 2019 ambapo pamoja na shughuli zingine, hatma ya maoni ya wananchi na mapendekezo ya serikali katika Muswada wa ...

Read More »

Kitendawili cha Muswaada wa Vyama vya Siasa kuteguliwa

LEO MKUTANO wa kumi na nne Bunge la kumi na moja linatarajiwa kuanza shughuli zake jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kwa mujibu wa kitengo cha Mawasiliano na ...

Read More »

Diwani ataka ushirikiano ili kukuza elimu

DIWANI wa Kata ya Ipagala Gombo Dotto (CCM) amewataka viongozi wa kata hiyo, wazazi na walimu kushirikiana kwa ukaribu ili kuwezesha watoto wao kupata elimu bora. Anaripoti Danson Kaijage… (endelea) ...

Read More »

Vijana nyoronyoro waonywa

ASKOFU wa Kanisa la Asembless Of God,Mlima wa Moto Jimbo la Dodoma na Nyanda za Juu Kusini,Silvanus Komba amewataka vijana kufaya kazi kwa bidii na kuachana na tabia ya ulegevu ...

Read More »

Mwalimu, mhasibu wafikishwa mahakamani kwa rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imemfikisha mahakamani mwalimu mkuu wa shule ya mingi Msisi iliyopo jijini Dodoma, David Isaac Mdek kwa kesi ya jinai ...

Read More »

‘Mbaya wa Mbowe’ aukwaa ujaji

HAKIMU Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Wilbard Richard Mashauri, ni miongoni mwa maofisa 15 wa mahakama waliotangazwa na Rais John Pombe Magufuli, kuwa majaji wa ...

Read More »

Spika Ndugai: Wakulima wanateswa na lumbesa

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania, Job Ndugai amesema bado kuna tatizo kubwa katika vipimo sahihi wakati wa ununuzi wa mazao kutoka kwa wakulima licha ya kuwepo ...

Read More »

Maofisa wa madini, wakuu wa mikoa kushirikiana kulinda madini

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa maelekezo kwa Maofisa madini kote nchini kunakochimbwa madini kushirikiana na wakuu wa Mikoa kwa lengo la kuweka mikakati ya kuthibiti madini hayo yasitoroshwe. ...

Read More »

Prof. Lipumba awakumbuka waliouwawa kwenye maandamano

IKIWA ni miaka 18 tangu kutokea kwa mauaji ya waandamanaji wa Chama cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar, Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa chama hicho anayetambaliwa na msajili wa vyama vya ...

Read More »

Mmiliki wa mabasi ya Batco, CRDB watuhumiwa “kutapeli” hoteli

MFANYABIASHARA na mmiliki wa mabasi ya Batco jijini Mwanza Baya Kusanja Malagi pamoja na benki ya CRDB wanadaiwa kula njama kwa pamoja na kutapeli hoteli ya Tai Five iliopo kona ...

Read More »

Prof. Assad anaendelea kuwa mwiba kwa serikali

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amefichua tuhuma nyingine mpya. Safari hii, CAG anaituhumu Serikali kutumia zaidi ya Sh. 2.7 bilioni, bila kufuata taratibu za kifedha. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Simba ‘out’ Sport Pesa

SIMBA imeondoshwa katika michuano Sport Pesa baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Bandari FC ya Kenya katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa ...

Read More »

Mahakama yamwachia huru Tido Mhando

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando leo tarehe 25 Januari, 2019 baada kumkuta hana hatia. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2018

MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne ya watahiniwa wa shule yanaonesha kuwa idadi ya watahiniwa waliofaulu imeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 ya mwaka 2017 hadi asilimia 78.38 ...

Read More »

Kada wa CCM awavaa Zitto, Lissu, amsifia JPM

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC), Mussa Mwakitinya maarufu kwa jina la ‘Mwana wa Mungu’ amewashambulia wabunge wa upinzani na kueleza kuwa wana nia mbaya na ...

Read More »

Taratibu za kimila zatumika kutafuta wauaji

MAELFU ya wananchi wameshiriki katika mazishi ya Afisa Elimu Maalum wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu, Martin Goi, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na wanaoitwa na serikali, “watu wasiojulikana.” Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Mbao FC waitoa nishai Gor Mahia

KLABU ya Mbao FC imefanikiwa kuiondoa timu ya FC Gor Mahia kutoka Kenya kwenye michuano ya kombe la Sport Pesa kwa njia ya mikwaji ya penalti 4-3 baada ya kutoka ...

Read More »

Rais Magufuli asikia kilio ujenzi Msikiti UDOM

RAIS John Magufuli amesikia kilio kilichofikishwa na Sheikh Mussa Kundecha, kuhusu kitendo kilichofanywa na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) cha kuvunja msikiti uliokuwa ukijengwa. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Amesema, kuwa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram