HALMASHAURI ya wilaya ya Morogoro ina mpango wa kutoa elimu ya mfumo wa stakabadhi mazao ghalani kwa wakulima wilayani humo katika msimu wa...
By Christina HauleDecember 20, 2018ASKOFU katika kaunti ya Kisumu nchini Kenya, Joseph Agutu amehukumiwa kifungo cha miaka 75 jela baada ya mahakama kumkukuta na hatia ya kuwabaka...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2018RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ kwa kuanzisha bidhaa yake...
By Masalu ErastoDecember 19, 2018MAMLAKA ya Taifa ya Mashtaka nchini Afrika Kusini (NPA) imetoa hati ya kukamatwa kwa Grace Mugabe, mke wa Rais mstaafu wa taifa hilo,...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2018RAIS John Magufuli amemgomea John Mnyika, Mbunge wa Kibamba na Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo kuhusu ombi lao la kuitaka serikali kuwalipa fidia...
By Faki SosiDecember 19, 2018SERIKALI imesema kuwa elimu inayostahili kutolewa nchini ni ile ambayo inajikita katika kutatua matatizo yote na ambayo ni bora na siyo bora elimu. Anaripoti...
By Danson KaijageDecember 5, 2018SERIKALI imetangaza kuwa kuwachukulia hatua kali Maofisa Ununuzi na Ugavi ambao wamekuwa wakishindwa kufuata Sheria za manunuzi na kuisababishia serikali kupata hasara. Anaripoti...
By Danson KaijageDecember 5, 2018WATUMISHI katika Kituo cha Ukaguzi Kibaha mkoa wa Pwani, wameondolewa kazini na serikali kutokana na kushindwa kusimamia rasilimali za sekta ya mifugo na...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2018JOTO la mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi, Raia wa Saud Arabia limeendelea kupanda na sasa, Rais Donald Trump anatakiwa ‘kumlaani’ Mohammed...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2018CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaimani kuwa, kuzuiwa kwa dhamana ya Mwenyekiti wake wa Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini...
By Regina MkondeDecember 5, 2018MAMLAKA ya Maji safi na usafi wa Mazingira (Mwauwasa) mkoani Mwanza imesema kuwa mfumo mpya wa kielektroniki wa malipo ya serikali wa GePG...
By Moses MsetiDecember 4, 2018MADIWANI wa Halmashauri ya Chamwino wameitaka idara ya kilimo kuhakikisha inawahisha mbegu bora na pembejeo za kilimo kwa ujumla kwa kuendana na msimu...
By Danson KaijageDecember 4, 2018CHANGAMOTO ya vikundi vya watu wenye ulemavu katika mkoa wa Dodoma kushindwa kuchangamkia fursa ya kupata fedha za mikopo zinazitolewa na halmashauri katika...
By Danson KaijageDecember 4, 2018MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayogela, amesema wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wanakabiliwa na njaa (ukata) licha ya kuwa...
By Danson KaijageDecember 3, 2018ARCHARD Kalugendo, mkurugenzi wa Uthaminishaji Almasi na Vito Tanzania (Tansort) na Edward Rweyemamu, mthamini wa madini ya almasi wa Serikali wanaendelea kusota rumande...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2018MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imehalisha kutoa uamuzi juu ya uhalali wa Msajili wa vyama vya siasa nchini kumtambua Profesa Ibrahim...
By Faki SosiDecember 2, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) kuhakikisha wanakamilisha kuleta vifaa...
By Masalu ErastoDecember 1, 2018