Monthly Archives: December 2018

Watoto 5,500 watazaliwa 2019, UNICEF wajipanga kwa usalama wao

SHIRIKA la Wototo Duniani (UNICEF) limeeleza kuwa siku ya mwaka mpya kutazaliwa watoto 395,072 ambapo nchini Tanzania watazaliwa watoto 5,500 ambao ni sawa na asilimia 1.4 ya watoto watakaozaliwa siku ...

Read More »

Matukio ya michezo/sanaa yaliyotikisa 2018

MWAKA 2018 unafikia tamati, katika miezi 12 inayokamilika leo wapo watu wanauaga mwaka kwa machungu yasiyosahaulika kwenye maisha yao milele lakini wapo wanaouona kuwa, ni mwaka wa neema kwao. Anaandika ...

Read More »

Chungu na tamu ya siasa 2018

TAMATI ya mwaka 2018 inakaribia, yapo yaliyofurahisha na kuchukiza. mwaka inakwisha huku taifa likibeba matukio mengi. miongozini mwayo yanahuzunisha na hata kuumiza mtu mmoja mmoja ama taifa kwa ujumla, lakini ...

Read More »

Mwalimu aliyemfungia mtoto kabatini azidi kubanwa

MWALIMU ya wa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma Anita Kimako (33) mkazi wa Area ‘C’ anayedaiwa kukifungia  kabatini kichanga  cha miezi mitano na kumjeruhi binti wake wa kazi, ...

Read More »

Jiji la Dodoma kujiendesha kwa mapato ya ndani

MKURUGENZI  wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa jiji hilo linatarajia ifikapo mwaka 2021 jiji hilo litakuwa likijitegemea kwa mapato ya ndani. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na ...

Read More »

Serikali yaanika hali ya uchumi nchini

PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na ukikua kwa asilima 7.1 ikilinganishwa na miaka ...

Read More »

Katibu Mkuu Chadema, wenzake saba ‘wasukumwa ndani’

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk. Vincent Mashinji ‘amesukumwa ndani’ na wenzake saba mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jeshi la Polisi mkoani humo lilitumwa kukamata viongozi hao jana kwa madai ...

Read More »

Waziri Mkuu aagiza wakazi wa Dodoma kulipwa fidia

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kuweka utaratibu wa kuwafidia watu wanaopisha maeneo yao. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Majaliwa ametoa maagizo hayo jana ...

Read More »

Kwa heri Pascal Ndejembi, utakumbukwa kwa mengi

WINGU zito limetanda katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, kutokana na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa  Chama hicho Mkoani hapa na Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama hicho mkoani Dodoma, ...

Read More »

Kocha Mkuu Simba: Kundi letu lipo wazi

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amsema kuwa bado timu yake inanafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika kutokana na kundi ...

Read More »

Kiza kinene kimeikumba nchi

GIZA limetanda katika maeneo yote yanayopata umeme kupitia gredi ya taifa jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Shirika la Umeme ...

Read More »

Kikokotoo chaondoka na Mkurugenzi SSRA

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dk. Irene Isaka. Anaripotu Yusuph Katimba…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ...

Read More »

Rais Magufuli ametufanya tutembee kifua mbele – Zitto

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amesema kuwa hatua ya Rais John Magufuli, kuzuia matumizi ya kanuni mpya za vikokotoo kwa ajili ya wafanyakazi waliostaafu, ni ishara tosha ya umakini wa ...

Read More »

Jafo aagiza waliotafuna Bil 2.9 Ulanga wakamatwe

OFISI ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi) imebaini matumizi mabaya ya fedha za serikali Sh. 2.98 bilioni katika halmashauri ya Ulanga mkoani Morogoro na kuagiza waliohusika wote ...

Read More »

Madiwani Chamwino watakiwa kuwakumbuka walemavu

MADIWANI wa Halmashauri ya Chamwino wametakiwa kuhakikisha majengo yanayojengwa yanakuwa na miundombinu rafiki kwa ajili ya watu wenye ulemavu. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Ushauri huo umetolewa Katibu mkuu ...

Read More »

Wazazi wa darasa la saba, wawachongea M-RC, DC kwa JPM

BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamemaliza darasa la saba na kufaulu mitihani yao na kukosa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza wamemwomba Rais John Magufuli kuwafuta kazi wakuu ...

Read More »

Jicho la Rais Magufuli lahamia kwa wastaafu hewa

RAIS John Magufuli amewataka watendaji katika mifuko ya hifadhi ya jamii kuboresha daftari la orodha ya majina ya wastaafu, ili kuondoa mapungufu yaliyopo pamoja na kudhibiti uwepo wa wastaafu hewa. ...

Read More »

Magufuli asalimu amri kwa wafanyakazi

HATIMAYE Rais John Pombe Magufuli, amesikia kilio cha wafanyakazi nchini. Amefuta angalau kwa muda, matumizi ya kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya wastaafu nchini.Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kabla ...

Read More »

Sekta binafsi yapigilia msumali sakata la Fastjet

MKURUGENZI wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye ametoa neno kuhusu madai yaliyotolewa na baadhi ya watu hivi karibuni, ya kwamba Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ...

Read More »

Rais Magufuli kukata mzizi wa fitina kikokotoo cha mafao

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli leo tarehe 28 Desemba 2018 atakutana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi nchini, watendaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii ...

Read More »

Shabiki apoteza maisha uwanjani

SHABIKI wa Inter Milan amepoteza maisha na wengine wanne kujeruhiwa katika mchezo dhidi ya FC Napol uliopigwa kwenye uwanja wa San Siro baada ya kuibuka vurugu kubwa kwa mashabiki wa ...

Read More »

Trump, Melania watinga Iraq kimyakimya

ZIARA ya Rais wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania imefanywa kimyakimya nchini Iraq. Vinaripoti vyombo vya kimataifa … (endelea). Hata hivyo inaelezwa kuwa, utawala wa Iraq ulikuwa na taarifa ...

Read More »

Wakulima Dodoma wapewa somo

WAKULIMA wa Mkoa wa Dodoma wametakiwa kulima mazao ambayo yanaendana na hali ya hewa ili kuweza kupata mazao mengi. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Wito huo umetolewa na Afisa ...

Read More »

Mrema akubali muswada wa vyama vya siasa, aomba ruzuku

MKONGWE wa Siasa Nchini na Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema, ameitaka serikali inapofanya marekebisho ya vyama vya siasa iweze kuangalia umuhimu wa kuvipatia vyama vidogo vya siasa ...

Read More »

Fastjet, serikali sasa hapatoshi

SIRI kuu juu ya kampuni ya ndege ya Fastjet, kusitisha shughuli zake za usafirishaji wa abiria nchini, imefichuka. Anaripoti Regina Mkonde …. (endelea). Taarifa kutoka ndani ya serikali zinasema, mamlaka ...

Read More »

Bobi Wine amnyima usingizi Museven

Bobi Wine mwanamuziki wa miondoko ya pop na mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, anamnyima usingizi rais wan chi hiyo Yower Museven. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Rais Museven yupo kwenye harakati ...

Read More »

Kombe la Mapinduzi kuanza Januari Mosi

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi inatarajia kuanza kuchezwa Januari Mosi, 2019 na kumalizika Januari 13, visiwani Zanzibar ambayo itahusisha timu tisa ambazo zitawekwa kwenye makundi mawili huku kundi A litakuwa ...

Read More »

Nusura ya MV. Nyerere kutokea Mafia

IKIWA ni miezi minne tangu Tanzania kupoteza zaidi ya watu 200 katika Ziwa Victoria kwenye ajali ya MV. Nyerere, watu 75 wamenusurika kufa katika Bahari ya Hindi wakienda kisiwani Mafia. ...

Read More »

Makonda: Bila Neno la Mungu, Magereza, polisi hawatatosha

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Magereza na Polisi hawatatosha iwapo Neno la Mungu halitafanya kazi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Amesema kuwa, gharama za kujenga uzio mkubwa, ...

Read More »

Chadema waanza kupanga safu yao ya uongozi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza maandalizi ya uchaguzi ndani wa ndani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Wakati harakati hizo zikiendelea Mwenyekiti wa chama hicho anaendelea kusota mahabusu kutokana ...

Read More »

Krisimasi yaweza kuwa mwarobaini wa  uhasama wa kidini?

KILA mwaka, siku kama ya leo – tarehe 25 Desemba – Wakristo duniani kote, huungana kusheherekea sikukuu ya Krisimasi. Anaandika Mwanadishi Maalum … (endelea). Ni siku maalum inayoelezwa na waamini wa ...

Read More »

Ujumbe wa manung’uniko, kilio kusomwa makanisani

LEO si Sikukuu ya Krismasi ambapo waumini Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zaidi Mil 6.5 wanatarajia kusomewa waraka huo uliobeba manung’uniko, majonzi kulingana na hali ilivyo kwa sasa. ...

Read More »

Mahakama yamzua Lipumba kukomba ruzuku

PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amegonga mwamba mahakamani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu ...

Read More »

Mbunge wa Chadema apata ajali mbaya

MBUNGE wa Viti Maalum, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kunti Yusuf Majala, amejeruhiwa vibaya baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Ajali hiyo ...

Read More »

Sumaye: Muswada wa siasa ukiachwa utawatafuna mpaka CCM

BARAZA Kuu la Chadema Kanda ya Pwani limetaka serikali kuuondoa muswada wa vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni, kwa sababu unakiuka katiba kwa kuwa baadhi ya vifungu vyake vinaua demokrasia ya ...

Read More »

Chadema waomba uhakiki wa daftari, Tume Huru

CHAMA cha Chadema Kanda ya Pwani kimeikumbusha serikali kufanya uhakiki wa daftari la kupiga kura kwa muda muafaka ili kila mpiga kura apate haki ya kuandikishwa. Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

Boban kuanza kuitumikia Yanga leo

BAADA ya kusajiriwa kwenye dirisha dogo la usajiri kutokea klabu ya African Lyion mchezaji Haruna Moshi ‘Boban’ (31) leo amejumuishwa kwenye kikosi cha Yanga kitakachoanza kwenye mchezo wa Kombe la ...

Read More »

Sumaye awachonganisha CCM

BARAZA Kuu la Chadema Kanda ya Pwani kimetoa wito kwa serikali kuwachukulia hatua watu walioanzisha mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya au wanaokwamisha mchakato huo, likidai kuwa uamuzi huo umepoteza ...

Read More »

Simba sasa kukutana na vigogo Afrika

BAADA ya Simba hapo jana kufanikiwa kuibuka ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FCkutoka Zambia, kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kufuzu hatua ya makundi ya ...

Read More »

Sumatra wafanikiwa kumaliza tatizo la usafiri Ubungo

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imefanikiwa kumaliza tatizo la usafiri wa abiria waoendao mikoani katika kituo cha mabasi cha Ubungo. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Membe amburuza kortini Musiba

ALIYEPATA kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, katika utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Bernard Membe, amemburuza mahakamani Cyprian Musiba. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Membe amefungua ...

Read More »

Ndugu wa Rostam Aziz afutiwa mashitaka

NDUGU wa mfanyabiashara mashuhuri nchini, Rostam Aziz, anayefahamika kwa jina la Akram Aziz, amefutiwa mashitaka na serikali. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akram alifunguliwa mashitaka mahakamani tarehe 31 Oktoba mwaka ...

Read More »

Airbus ya ATC kutua nchini kesho kutwa

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea ndege nyingine mpya toleo la Airbus A220-300 itakayotua nchini Jumapili Desemba 23, 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Msemaji wa Serikali, Dk. Hassan Abbas ameeleza ...

Read More »

Mbowe, Matiko sasa kula Krismass, Mwaka Mpya gerezani

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa chama hicho katika jimbo la Tarime Mjini, Esther Matiko, waweza kulazimika kulia sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya ndani ya gereza kuu ...

Read More »

Hekaheka DRC, uchaguzi njia panda

UCHAGUZI Mkuu katika Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) upo njia panda baada ya mamlaka za nchi hiyo kujiumauma. Vinaripoti vyombo vya kimataifa … (endelea). Uchaguzi huo ulipangwa ...

Read More »

Rais Magufuli ahimiza kukusanywa kodi ili kulipa madeni

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amewahimiza wananchi kulipa kodi ili kuiwezesha serikali kulipa mikopo inayokopa kwa ajili ya kufanikisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. ...

Read More »

Lowassa, Sumaye, Maalim Seif, Zitto kumfuata Mbowe Kisutu kesho

VIGOGO watatu wa kisiasa nchini, Edward Lowassa, Maalim Seif Sharif Hamad na Fredrick Suamye, kesho Ijumaa, wataongoza mamia ya wafuasi wa upinzani, kuelekea kwenye Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es ...

Read More »

Kikokotoo pasua kichwa kila kona

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) wametoa tamko la kuunga mkono msimamo wa TUCTA kuhusu mkanganyiko Kikokotoo cha mafao ya pensheni yanayotolewa na mfuko wa hifadhi ya ...

Read More »

Wakulima waomba mbegu za muda mfupi

JUKWAA la Wakulima wanawake wilayani Chamwino (JUWWACHA) limeishauri serikali kutilia mkazo matumizi ya mbegu za muda mfupi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi wilayani humo. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma ...

Read More »

Viongozi wa dini watakiwa kulikomboa Taifa

KIONGOZI wa Kanisa la Jehova Mercy, lenye makao yake makuu Jijini Dodoma mtaa wa Swaswa Halisi, Prophet Richard Magenge amewataka viongozi wa Kiroho kufanya kazi ambayo inalenga kulikomboa taifa na ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram