Thursday , 28 March 2024

Day: November 8, 2018

Habari Mchanganyiko

Serikali kufuatiliwa sakata la watumishi wa CPJ

MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo, Dk. Hassan Abbas amesema ofisi yake inafuatilia sababu ya watumishi wawili wa Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kumatwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa  Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Petroli, diseli, mafuta ya taa sasa ni kitanzi

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) imetangaza ongezeko la bei za mafuta ya petroli, diseli na mafuta ya taa, yaliyoshushwa...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yamhoji Sethi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo tarehe 8 Novemba 2018 imeelezwa kwamba mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi amechukuliwa maelezo yake...

Makala & Uchambuzi

Hii ni Jahannam katika uso wa dunia

UNAWEZA kujiuliza, kwanini wanadamu wamekuwa na tabia za ovyo zaidi ya wanayama wakali? Nini hasa walichojisahau mpaka kutojali maumivu wanayopata wengine? Anaandika Yusuph Katimba...

Michezo

Chirwa aibukia Azam FC

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Obrey Chirwa amejiunga rasmi na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa mwaka mmoja katika dirisha dogo la...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu mstaafu apata pigo

ELIZABETH Sumaye, aliyekuwa mama mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amefariki dunia jana tarehe 7 Novemba 2018 nyumbani kwake kijijini Endasaki wilayani...

Kimataifa

Kuanguka Trump, mwanasheria mkuu ang’oka

MWANASHERIA Mkuu wa Marekani, Jeff Sessions amejiuzulu wadhifa huo akitekeleza agizo la Rais Donald Trump, lililomtaka kuachia ngazi. Yanaripoti Mashirika ya Kimataifa …(endelea)....

Habari za Siasa

Kisukari, Saratani yapunguziwe mzigo wa matibabu

MBUNGE wa Viti Maalum (CUF), Rukia Ahmed ameitaka serikali kuwaondolewa ukali wa gharama za matibabu, waathirika wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza hasa kisukari...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Balozi wa EU latinga bungeni, Spika aligomea

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amegoma kuruhusu swali la Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe kutolewa majibu na...

Habari za Siasa

Bunge latoa siku saba serikali kutoa takwimu za watumishi

SPIKA Job Ndugai ametoa siku saba kwa Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutoa takwimu za watumishi wake waliopandishwa madaraja, walioajiriwa katika mwaka wa...

error: Content is protected !!