Thursday , 25 April 2024

Day: November 5, 2018

Habari Mchanganyiko

Babu mbaroni kwa kubaka mtoto

JESHI la Polisi mkoa wa Kinondoni linamshikilia Mohamed Hassani (65) mkazi wa Mburahati jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Nondo baada ya kuibwaga Serikali mahakamani

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo amesema hawezi kurudi nyuma katika harakati zake za kutetea haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Mrithi wa Manji kupatikana Januari

BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu hatimaye Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Mwenyekiti wake, Malangwe Mchungahela imetangaza...

Kimataifa

Iran yagomea vikwazo vya Marekani

RAIS wa Iran, Hassan Rouhani ameahidi kupinga vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa lake, vinavyotarajiwa kuanza kutekelezwa leo tarehe 5 Novemba 2018. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mkuu wa Wilaya aagiza waliotapeli mamilioni wawekwe ndani

MKUU wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Gift Msuya ameagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kutapeli wananchi sita kiasi cha Sh....

Michezo

Diamond azindua Wasafi Festival, amwita Ali Kiba

MKURUGENZI mkuu wa kampuni ya Wasafi Naseeb Abdul maarufu kama ‘Diamond Platnumz’ ametangaza ujio wa tamasha kubwa la burudani Wasafi Festival ambalo linatarajia...

Michezo

TFF yamfungia Kuuli kutojihusisha na soka

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kamati ya maadili imemfungia maisha kujihusisha na soka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili...

Afya

Dk. Ndugulile amweka ndani Mganga Mkuu

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbulu mkoa wa Manyara,...

Michezo

Tuzo CAF kutolewa Januari mwakani

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetangaza tarehe 8 Januari, 2019 itafanyika hafla ya utoaji tuzo mbalimbali za wachezaji pamoja na timu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Nondo aachiwa huru kesi ya kujiteka

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Iringa leo imemkuta Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo hana hatia hivyo imemuachia huru. Anaripoti Mwandishi...

error: Content is protected !!