November 3, 2018 – MwanaHALISI Online

Daily Archives: November 3, 2018

Serikali yagoma kufuta adhabu ya kifo

Dm0bOarU8AA_wia

PAMOJA na kilio cha muda mrefu kutoka kwa taasisi mbalimbali zinazotetea haki za binadamu cha kuitaka serikali kufuta adhabu ya kifo, bado adhabu hiyo itaendelea kutumika nchini kwa miongo mingine ...

Read More »

Trump aitunishia misuli Iran, yajibu mapigo

Donald Trump, Rais wa Marekani

BAADA ya Rais wa Marekani Donald Trump mwanzoni mwa mwezi Mei 2018, kujitoa katika mkataba wa kimataifa wa nyuklia na Iran wa mwaka 2015, ametangaza kuliwekea vikwazo vya kihistoria taifa ...

Read More »

Magari ya Serikali yagongana, saba wafariki

Ajali

WATUMISHI saba wamefariki dunia wakati watatu wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la Ofisi ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa ...

Read More »

Kocha Simba ang’aka Uwanja Mkwakwani

Patrick Aussems, Kocha Mkuu wa Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Patric Aussems ameonekana kutorizishwa na nyasi za uwanja wa Mkwakwani uliopo mkoani Tanga mara baada ya kufanya mazoezi ya siku mbili na kikosi chake ambacho kitaivaa ...

Read More »

Sakata la Balozi Jumiya ya Ulaya, utata mtupu

IMG-20181102-WA0017

UTATA umeibuka juu ya hatima ya baadaye ya Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), nchini Tanzania, Roeland Van De Geer. Anaaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wakati taarifa kwenye mitandao ya ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube