Friday , 29 March 2024

Day: November 2, 2018

Habari za SiasaTangulizi

Zitto apata dhamana, mahakama yatupa pingamizi la serikali

MAHAKAMA ya Hakim Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imempa dhamana mwanasiasa machachari wa upinzani nchini, Zitto Zuberi Kabwe. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari Mchanganyiko

Wachimba kokoto waomba soko la uhakika

KIKUNDI cha wanawake 36 kijulikanacho kama Loleni kilichopo Kijiji cha Mwarazi Kata ya Kibuko, Morogoro kinachojihusisha na uchimbaji wa kokoto aina ya “Doromate” kinaiomba...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe atinga Kisutu

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, amefikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, muda huu wa mchana wa leo...

Habari za SiasaTangulizi

Shirika la Kimataifa laingilia kati kukamatwa kwa Zitto

SHIRIKA la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International limeitaka Jeshi la Polisi kumpa dhamana au kumfikisha mahakamani, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,...

Habari Mchanganyiko

Vicoba Temeke yaiomba Serikali ‘kuipiga jeki’ viwanda vidogo

TAASISI ya Vicoba endelevu Temeke imeiomba serikali kuiunga mkono katika jitihada zake za kuanzisha viwanda vidogo, ili kufikia uchumi wa kati kwa wanachama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ajali ya treni yajeruhi watu tisa

WATU tisa wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 2 Novemba 2018 maeneo ya Karakata wilayani Ilala jijini Dar es...

error: Content is protected !!