Friday , 19 April 2024

Day: November 1, 2018

Michezo

FIFA yamfungia maisha kiongozi CAF

SHIRIKISHO la Mpiwa wa Miguu Duniani (FIFA) limemfungia maisha kujihusisha na masuala ya soka aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini Ghana (GFA), Kwesi Nyantakyi...

Habari za Siasa

Ugonjwa wa moyo wampeleka Mbowe nje ya nchi

MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kutokana na kuwa nje ya nchi kwa ajili ya...

Michezo

Wema asomewa mashtaka, aachiwa kwa dhamana

WEMA Sepetu, Msanii wa Filamu nchini, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kuchapisha video yake ya ngono...

Habari za Siasa

Rais Magufuli afunga mjadala kuhusu katiba mpya

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amefunga mjadala kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya, akisema kuwa hategemei kutenga...

Habari za SiasaTangulizi

Vita ya ruzuku CUF yatinga Mahakama ya Rufaa

BODI ya Wadhamini ya CUF imefungua shauri Na. 343/01/2018 katika Mahakama ya Rufaa, kupinga amri ya zuio la kutolewa ruzuku ya chama hicho...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wampekua Zitto Kabwe nyumbani kwake

IKIWA imepita siku moja tangu Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe kukamatwa na polisi jijini Dar es Salaam, leo Jeshi la Polisi...

Habari Mchanganyiko

Mtangazaji Star TV, Radio Free Afrika afariki dunia

SAMADU Hassan aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha luninga cha Star Tv na Radio Free Africa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe mosi...

Michezo

Wema Sepetu afikishwa mahakamani Kisutu

WEMA Sepetu, Miss Tanzania mwaka 2006 na mwigizaji wa filamu Tanzania, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018....

Habari MchanganyikoTangulizi

TTCL yathibitisha ‘kufyeka’ wafanyakazi 550

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limethibitisha kutaka kupunguza wafanyakazi 550 kati ya 1,500 walioko nchi nzima, ambao hawana sifa za kitaalamu na kushindwa...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wa CCM wasakwa kwa ulawiti, ubakaji

KATIBU Mwenezi wa CCM Kata ya Mkolani, Zephilin Michael na Katibu Mwenezi wa chama hicho katika kata ya Buhongwa, Hassan Bushangama wanasakwa na...

error: Content is protected !!