Friday , 29 March 2024

Month: October 2018

Habari za Siasa

NEC yawaita wapiga kura uchaguzi Liwale

WAPIGA kura katika jimbo la Liwale mkoani Lindi pamoja na kata nne za Tanzania Bara wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi...

Michezo

Yanga kujifua Zanzibar, Simba yahairisha mazoezi

WAKATI michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa imesimama kupitisha michezo ya kimataifa ambayo ipo kwenye kalenda ya Shirikisho la Mpira wa Miguu...

Habari za SiasaTangulizi

Matumizi mabaya ya fedha yawagonganisha RC Mongella, CCM

MGOGORO umeibuka Mwanza kati ya serikali ya mkoa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa (CCM) kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni kushindwa...

Habari Mchanganyiko

Kisa cha Panya, Kuku, Mbuzi na Ng’ombe

NYUMBANI kwa mwanadamu uliwekwa mtego wa panya, lengo likiwa kumnasa panya. Anaandika Babu Jongo … (endelea). Panya alipoona mtego akamuambia kuku amsaidie kuutegua, kuku...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Chadema ajibu mashambulizi ya Mwita  

CECIL Mwambe, Mbunge Jimbo la Ndanda (Chadema) anayetajwa kwenye orodha ya wabunge wanaotaka kukimbilia CCM amesema, hajashindwa kazi. Anaandika Faki Sosi … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Balozi: Palestina haitalegeza kamba

TAIFA la Israel limeondoa furaha yetu, linataka kuondoa utambulisho wetu katika ardhi ya Palestina, kamwe hilo halitafanikiwa. Anaandika Yusuph Katimba…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...

Habari za Siasa

Rais Magufuli amteua Mwenyekiti mpya wa TANROADS

RAIS John Magufuli amemteua Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Lucas Nyaoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa...

Habari za Siasa

Wabunge wafunguka kutekwa kwa MO Dewji

BAADHI ya Wabunge hapa nchini wametoa neno kuhusu tukio la kupotea kwa Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’, huku wakitoa wito kwa serikali kufanya...

Habari Mchanganyiko

Wazungu wadaiwa kumteka kimafia MO Dewji

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeeleza kuwa, linawashilikia watu watatu wanaoshukiwa kuhusika na tukio la kutekwa kwa Mfanyabiashara Mohammed...

Habari Mchanganyiko

MO Dewji adaiwa kutekwa alfajiri ya leo

MFANYABIASHARA Mohammed Dewji, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto leo saa 11 Alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi Gym ya Colosseum,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Ukerewe, naye aikimbia Chadema

ALIYEKUWA mbunge wa Chadema katika jimbo la Ukerewe, mkoani Mwanza, Joseph Mkundi, hatimaye amemwaga manyanga. Anaripoti Mwandishi Wetu …. (endelea). Katika barua yake...

Habari Mchanganyiko

Madereva kuwaweka kikaangoni vigogo Udart

WAKATI Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam, ikiagiza watendaji wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Udart) kutoa sababu za kutochukua hatua madhubuti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Rais Kenyatta vifo vya watu 50

RAIS John Magufuli ametuma salamu za pole kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia vifo vya watu 50 vilivyosababishwa na ajali ya basi...

Habari Mchanganyiko

Wahujumu miondombinu ya maji wafikia saba

BAADA ya uchunguzi  unaofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) juu ya hujuma ya Maradi wa Maji wa Mtomoko uliopo...

Habari Mchanganyiko

Mabula aonesha njia utatuzi mgogoro wa ardhi Mara

NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula ameagiza zoezi la kupima upya mipaka ya vijiji vya Kono na Ketembere kuanza...

Makala & Uchambuzi

Rangi ya CCM ni ile ile

WAKATI wa Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alianza kwa makeke yaliyomsisimua kila Mtanzania.Anaandika Mhode Mkasimongwa … (endelea). Moja ya makeke hayo...

Afya

Serikali yaonya madaktari

MADAKTARI nchini wamepigwa marufuku kuandika dawa za wagonjwa kwa kutumia majina ya kampuni kwa kuwa kitendo hicho kinasababisha baadhi ya wagonjwa kukosa dawa.Anaripoti...

Kimataifa

Basi lateketeza maisha ya watu 50

BASI la abiria lililokuwa likitokea jijini Nairobi kuelekea Kisumu nchini Kenya, limepata ajali na kuua watu takribani 50. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wa vyama siasa wajifungia Dar kujadili Demokrasia

BAADHI ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hapa nchini leo tarehe 10 Oktoba 2018 wamekutana katika mkutano maalum unaoendelea kwenye hoteli ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Raia wa kigeni wanaswa wakitorosha dola 70,000

RAIA wawili wa kigeni, Nada Zaelnoon Ahamed (38) na Mohamed Belal (31), wanashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukutwa na kiasi cha...

KimataifaTangulizi

Marekani, China washusha uchumi wa Dunia

MIVUTANO ya kibiashara ya kidunia imetajwa kuwa miongoni mwa sababu za kushuka kwa uchumi  wa dunia katika kipindi cha mwaka 2018/2019 huku vita...

Habari Mchanganyiko

Jamhuri kumbana Tido Mhando Oktoba 16

UPANDE wa Mashtaka katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando...

Michezo

Dreamliner yakwama kuipeleka Stars Cape Verde

SERIKALI kupitia Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Harison Mwakyembe ameeleza sababu za ndege ya serikali aina ya Dreamliner kushindwa kuisafirisha timu...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dodoma wawashikilia ‘machangudoa’ 22

WANAWAKE takribani 22 pamoja na wanaume watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya ngono....

Kimataifa

Hospitali matatani kwa kumuambukiza mgonjwa VVU

HOSPITALI moja nchini Uingereza inayofahamika kwa jina la Pinderfields imeingia matatani baada ya kutuhumiwa kutaka kumsabishia mgonjwa Paul Batty (52) kupata maambukizi ya...

Habari za Siasa

Benki ya Dunia yampa ‘saluti’ JPM

BENKI ya Dunia (WB) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayofadhili hapa nchini, unaofanmywa na serikali ya Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

Kabudi, Kigwangala wateta na balozi wa Uingereza

WAZIRI wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangala wamekutana na Balozi wa Uingereza Nchini,...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba alalamika rafu Uchaguzi Liwale

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, anadai kuna uwepo wa rafu katika uchaguzi...

Habari Mchanganyiko

Polisi Mbeya wamsaka dereva wa lori

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamsaka dereva wa lori la mafuta linalomilikiwa na Kampuni ya Mafuta ya Oil Com, baada ya lori hilo...

Habari za SiasaTangulizi

Skendo za kuhamia CCM, Kubenea afura, ashambulia Mwananchi

Taarifa kwa umma NIMEONA picha yangu kwenye gazeti la leo Jumanne la MWANANCHI likinihusisha mimi na kutaka kuhama chama changu na kujiunga na...

Michezo

Ishara ya kidole cha mwisho kumponza Mourinho

KOCHA mkuu wa Manchester Unite Jose Mourinho yupo katika wakati mgumu tena baada ya Chama cha Mpira wa Miguu England (FA) kumchunguza kufuatia...

Habari za SiasaTangulizi

Mch. Msigwa apigwa ‘stop’ kufanya mikutano Iringa

JESHI la Polisi mkoani Iringa limempiga marufuku Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa kufanya mikutano ya hadhara kwa madai ya kutoa lugha za...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola achemka, JPM atumbua

LICHA ya maelezo na maelekezo ya mara kwa mara yanayotolewa na Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Jeshi la...

Michezo

Eto’o kuzindua uwanja wa soka Tanzania

NAHODHA wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o anataraajia kuja nchini Tanzania tarehe 10 Oktoba mwaka huu, kuzindua ujenzi wa...

Habari za Siasa

Shahidi akwamisha kesi ya Halima Mdee

KESI inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee katika Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu,  ya kutoa lugha chafu dhidi ya Rais John Magufuli imekwama kusikilizwa...

Michezo

Sergio Aguero atajwa kuwania Ballon d’Or

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Argentina na klabu ya Machester City, Sergio Aguero ameungana wachezaji mahiri duniani waliotajwa kuwania tuzo ya FIFA...

Habari za SiasaTangulizi

Utabiri wa Lema haukufika kwa Millya?

KATIKA siku za hivi karibuni, mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Gobless Lema, alijizolea umaarufu wa kutabiria wabunge wenzake, kuondoka chama hicho na kujiunga...

Habari Mchanganyiko

Mhasibu Mamlaka ya Elimu aburuzwa mahakamani kwa makosa 400

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kinondoni imemfikisha mahakamani aliyekuwa Mhasibu Mwandamizi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Isaya...

Kimataifa

China yathibitisha kumshikiria Rais wa Interpol

NCHI ya China imethibitisha kumzuia Rais wa Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol), Meng Hongwei ikidai kuwa anafanyiwa uchunguzi na Tume ya Kupambana...

KimataifaTangulizi

Wafungwa wateka gereza, watoa masharti mazito

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wafungwa wanaoshikiliwa kwenye gereza la Juba nchini Sudan Kusini wanadaiwa kuliteka gereza hilo huku wakiwa na silaha ikiwemo...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge mwingine Chadema aachia ngazi

ALIYEKUWA mbunge wa Simanjiro (CHADEMA), James Millya, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika barua yake kwa Spika wa Bunge,...

Kimataifa

Marekani, Saudi Arabia watibuana

MARAFIKI wawili, Taifa la Saudi Arabia na Marekani yameingia kwenye mgogoro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa taarifa, Prince Salman ameishambulia...

Elimu

Prof. Ndalichako amuitia Takukuru mkuu wa chuo

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amemtaka Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Diwani Athuman kutuma wataalamu...

Habari Mchanganyiko

Mtoto wa miaka mitano afariki kwa moto

MTOTO wa miaka mitano, Solile Emannuel amefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea tarehe 3 Oktoba 2018 nyumbani kwao maeneo ya Nh’obola wilayani...

KimataifaTangulizi

China yashukiwa kupotea kwa Rais wa Interpol

UTATA umeibuka kufuatia madai ya kupotea kwa Rais wa Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Meng Hongwei baada ya  Afisa Mkuu wa masuala...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi CCM akamatwa na bangi

BALOZI wa nyumba kumi mkazi wa Kasumulu wilayani Kyela mkoa wa Mbeya, Andende Smoke Mbalwa (35) pamoja na Rose Charles (40) wanashikiliwa na...

Habari Mchanganyiko

Dk. Bashiru azitamani kura za wakulima

KATIBU mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amewataka wavuja jasho wakiwemo wakulima kutokata tamaa au kuwa na tamaa ya mabadiliko...

error: Content is protected !!