Thursday , 28 March 2024

Day: October 4, 2018

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa leseni mpya za madini

LESENI mpya za madini takribani 7,879 zimetolewa na Tume ya Madini kuanzia mwezi Mei hadi Septemba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza...

Habari za Siasa

Rais Magufuli apokea hati ya mabalozi

RAIS John Magufuli leo tarehe 4 Oktoba 2018 amepokea hati za utambulisho wa mabalozi watano watakaowakilisha nchi zao hapa nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari Mchanganyiko

Walimu Pemba wapigwa marufuku kwenda harusini

WALIMU wa Shule za msingi na sekondari katika mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar wamepigwa marufuku kwenda katika sherehe hasa harusi wakati wa...

Michezo

Zahera, Amri Said washinda Tuzo Ligi Kuu

MAKOCHA Mwinyi Zahera wa klabu ya Yanga na Amri Said wa Mbao kutoka jijini Mwanza wameshinda tuzo za kocha bora wa mwezi kwenye...

Michezo

Eliud Ambokile mchezaji bora wa mwezi Septemba

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Mbeya City, Eliud Ambokile, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuwashinda...

Habari Mchanganyiko

Watanzania milioni 21 hawapati maji safi na salama

KUKOSEKANA kwa usimamizi bora wa rasilimali za maji kumetajwa kuwa sababu ya watanzania takribani milioni 21 kutofikiwa na huduma ya maji safi na...

Habari Mchanganyiko

Ushirikiano ndiyo silaha pekee itakayowalinda waandishi-MCT

KAJUBI Mukajanga, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), amesema silaha pekee itakayowakwamua waandishi wa habari nchini katika mazingira ya magumu wanayopitia...

Michezo

Yanga yamchongea Kotei TFF

MARA baada kiungo wa Simba, James Kotei kumpiga ngumi ya mgongo mlinzi wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael wakati wakiwania mpira kwenye mchezo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jengo la Benjamin Mkapa lawaka moto

MOTO umezuka katika jengo la Benjamin Mkapa Tower lililopo maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam katika ghorofa ya nne hali iliyosababisha kuzua...

error: Content is protected !!