Friday , 29 March 2024

Day: October 1, 2018

Habari za Siasa

Job Ndugai ailima barua NEC

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage ya kumfahamisha kuwa Jimbo la...

Michezo

Stars yaingia kambini kuwawinda Cape Verde

TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeingia rasmi kambini leo kujiwinda na mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu kwa michuano ya mataifa...

Habari za Siasa

Wazee Chadema wataka mwakilishi bungeni

IKIWA leo tarehe 1 Oktoba 2018, ni kilele cha siku ya maazimisho ya Wazee Duniani, wazee wameitumia siku hii kuiomba serikali kuhakikisha kundi...

Michezo

Simba, Yanga yaingiza Sh 404 mil

Mchezo wa Ligi Tanzania bara namba 72, uliowakutanisha mabingwa watetezi Simba dhidi ya Yanga jana 30 septemba, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema: Fedha za kurudia uchaguzi zikatibie wazee

BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limetaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kubadilisha utaratibu wa kuwapata wabunge, katikati...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu mgeni rasmi Mviwata

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Khasim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi...

Habari Mchanganyiko

Waliotoroka Mgambo wapewa siku mbili kurudi kambini

VIJANA takribani 200 waliotoroka katika mafunzo ya mgambo wapewa saa 48 ambayo ni sawa na siku mbili kurudi kambini. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Michezo

Cristiano Ronaldo atuhumiwa kwa ukatili wa ngono

MWANAMKE mmoja kutoka jimbo la Las Vegas nchini Marekani, Kathryn Mayorga ameibuka hadharani na kumtuhumu nyota wa mpira wa miguu duniani, Cristiano Ronaldo...

error: Content is protected !!