September 7, 2018 – MwanaHALISI Online

Daily Archives: September 7, 2018

Rais Magufuli aikalia kooni Acacia

20180907_224754

RAIS John Magufuli ameapa kuibana kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia ili ikamilishe ujenzi wa  mradi wa maji unaojengwa wilayani Tarime mkoa wa Mara unaogharimu kiasi cha Sh. 700 milioni. ...

Read More »

Pareso, Mkuchika watunishiana misuli hela za TASAF

images (1)

MBUNGE wa Viti Maalumu (Chadema), Cecilia Pareso ameitaka serikali kufanya tathimini na uchunguzi wa kina kuhusu matumizi ya fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kisha kuwasilisha bungeni taarifa ...

Read More »

Wanajeshi 10 wahukumiwa kwa mauaji, ubakaji

Nyundo na Mizani ya Hakimu

MAHAKAMA ya kijeshi nchini Sudan Kusini imewahukumu wanajeshi 10 vifungo vya kati ya miaka saba na maisha kwa makosa ya mauaji na ubakaji. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Wanajeshi hao ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube