September 3, 2018 – MwanaHALISI Online

Daily Archives: September 3, 2018

Chadema Karatu mbioni kupasuka  

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

NGOME pekee ya Chama cha Demokrasia naMaendeleo (Chadema), iliyokuwa imesalia – halmashauri ya wilaya ya Karatu – iko hatarini kuvunjika muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Aidan Aziz … (endelea).  Taarifa ...

Read More »

Ngoma aendelea kuitia hasara Azam FC

Azam

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Donald Ngoma bado ataendelea kuwa nje ya uwanja baada ya kuendelea kutibu jeraha lake la goti lililomsumbua kwa muda mrefu licha ya kwenda nchini Afrika Kusini ...

Read More »

China kutoa msaada wa Bil 60

China-1

RAIS wa China, Xi Jinping amesema serikali yake itatoa dola za kimarekani 60 bilioni katika mpango wake wa miaka mitatu wa ushirikiano na Afrika katika shughuli za maendeleo. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

TFF wawatia kitanzi waamuzi wanne

Wambura

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF, kupitia kamati yake ya uendeshaji wa ligi (Kamati ya Masaa 72) iliyokaa jumamosi imewatia hatiani waamuzi wanne wanao chezesha ligi kuu kwa kushindwa ...

Read More »

Waandishi wa habari za uchunguzi wahukumiwa kifungo

Kyaw Soe Oo

WAANDISHI wa habari wawili wa mtandao wa Reuters wa Lone na Kyaw Soe Oo, wamehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na Mahakama nchini Myanmar, kwa kosa la kufanya uchunguzi wa ...

Read More »

Mwalimu aliyemuua mwanafunzi afikishwa mahakamani

DmKib4WXcAE7nZo

MWALIMU Respicius Patrick Mtazangira na Julieth Gerald wa Shule ya Msingi Kibeta iliyoko Manispaa ya Bukoba wanaotuhumiwa kumuua kwa viboko mwanafunzi wa darasa la tano, Sperius Eradius (13) wa shule ...

Read More »

Bunge laanza, Waziri Mkuu kuulizwa maswali 16  

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa

MKUTANO wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kuanza Jumanne ya tarehe 4 Septemba 2018, huku maswali 16 ya papo kwa papo yakimsubiri Waziri Mkuu, Kassim ...

Read More »

Rais Magufuli kuwalipa Wafanyakazi wa meli Bil 3.7

DmLX38aXcAMyFYR

RAIS John Magufuli ameahidi kutoa kiasi cha Sh. 3.7 bilioni ndani ya wiki mbili, kwa ajili ya kulipa malimbikizo ya mishahara ya miezi 27 ya wafanyakazi wa Shirika la Huduma ...

Read More »

IGP Sirro afanya mabadiliko makamanda wa mikoa

Hassan Nassir, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kusini Pemba

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa nchini, kwa kumhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Hassan ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube