Wednesday , 24 April 2024

Month: August 2018

Michezo

Yanga kumuaga rasmi Canavaro Agosti 12

ALIYEKUWA nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ”Cannavaro” anatarajiwa kuagwa rasmi ndani ya klabu hiyo tarehe 12 Agosti, 2018 kwa mchezo maalumu wa kirafiki...

Habari Mchanganyiko

Uongozi, Bodi Bank M wapigwa ‘stop’

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesimamiasha shughuli za Bodi ya Wakurugenzi na Uongozi wa Bank M. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). BoT imechukua...

Habari za SiasaTangulizi

Waitara kutikisa Ukonga kesho

ALIYEKUWA Mbunge wa Ukonga, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwita Mwaikabe Waitara, kesho Ijumaa, atapokelewa rasmi jimboni humo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari Mchanganyiko

Mbaroni kwa kujiteka jijini Mwanza

Mfanyabiashara Prosper Peniel (26) mkazi wa Kwimba mkoani Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa kosa la kutoa taarifa ya uongo...

Habari za Siasa

Serikali yawatangazia vita wanaotorosha madini

SERIKALI imewatangazia vita watu wanaotorosha madini ya Tanzanite pamoja na wanaokwenda kinyume na matakwa ya sheria. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Akizungumza jana...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai apokea barua ya Kalanga kujiuzulu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amepokea barua ya kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiuzulu nafasi ya ubunge kwa...

Afya

Serikali yasisitiza wajawazito kutibiwa bure

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza kuwa huduma za uzazi kwa wajawazito zinatolewa bila ya malipo...

Habari Mchanganyiko

Mbaroni kwa kumchoma mtoto moto

WATU wawili, Judith Amoni Mwansansu (39) Mkazi wa Mwanjelwa na Aive Alex Swalo (17) Mkazi wa Mwanjelwa Mtaa wa Soko wanashikiliwa na Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee, wanachama wa Chadema wakamatwa jioni hii

TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama, Halima Mdee (Mb) pamoja na viongozi wengine, wanachama na...

Michezo

Simba kukipiga na Asante kotoko kutoka Ghana

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzani Bara, Simba wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko kutoka Ghana katika maadhimisho ya siku ya...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Kangi Lugola anafanya kazi kwa kulipuka

CHAMA cha ACT-Wazalendo wamesisitiza kuwa Kiongozi wao, Zitto Kabwe hatatii agizo lililotolewa na Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, kwani hana mamlaka...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli mgeni rasmi mkutano wa ALAT

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) intarajia kufanya mkutano wake mkuu wa 34 Desemba 24 hadi 28 mwaka huu Jijini Dodoma huku...

Habari Mchanganyiko

Auawa kwa shoka, kisa wivu wa mapenzi

WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti akiwemo mwanamke mmoja Rose Mngwe (43) mkulima na mkazi Njage wilayani Kilombero kuuawa kwa kukatwa na...

Habari za Siasa

Zitto amwibua Mbwa wa Lugola

SIKU moja baada ya Zitto Kabwe, kumweleza Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwamba, ashughulike na mbwa wa polisi, hatimaye...

Habari za SiasaTangulizi

Kujiuzulu Meya Ilala, CUF pachimbika

CHAMA cha Wananchi (CUF) kumewaka baada ya aliyekuwa Naibu Meya wa Ilaya anayetokana na chama hicho, Omary Kumbilamoto leo Agosti mosi, 2018 kutimkia...

Michezo

Mkwasa kwenda India kwa Matibabu

ALIYEKUWA katibu mkuu wa klabu ya Yanga na kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa amesafiri jana kuelekea...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani wazidi kupukutika, Meya Ilala abwaga manyanga

OMARY Kumbilamoto, Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Vingunguti kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi CUF,...

Habari Mchanganyiko

Uwanja wa ndege mpya wakamilika asilimia 8o

MHANDISI Isack Kamwelwe, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, amefanya ziara katika kiwanja kipya cha ndege cha Julius Nyerere kilichopo DSM kufanya ukaguzi...

Makala & UchambuziTangulizi

Shetani ameweka kambi Z’bar?

NINAZIONA jitihada za nguvu na waziwazi za uongozi wa serikalini kuwasukumia wafanyakazi wa Shirika la Meli Zanzibar lawama na shutuma kuhusu kulala kwa...

error: Content is protected !!