Saturday , 20 April 2024

Month: August 2018

Habari za Siasa

NEC watangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Liwale

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Liwale Mkoa wa Lindi, kufutia kujiuzulu kwa Zuberi  Kuchauka aliyekuwa Mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Ridhiwani Kikwete ‘apaniki’

RIDHIWANI Kikwete, Mbunge wa Chalinze ameishiwa uvumilivu. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mbunge huyo kijana anaeleza kukerwa na tuhuma zinazoelekezwa kwake kwamba ‘anakerwa’...

Kimataifa

Wanaompinga Rais Mnangagwa watoswa Zimbabwe

MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Zimbabwe imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na chama kikuu cha upinzani nchini humo MDC, ya kukata rufaa dhidi...

Michezo

NACTE: Vyuo ndiyo wanachelewesha udahili elimu ya juu

BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevitaka vyuo na taasisi za elimu kutoa matokeo ya wahitimu wao mapema kwa ajili ya...

Michezo

TFF yapangua tena ratiba ya Ligi Kuu Bara

MICHEZO namba 14 na 19 ya Ligi Kuu Bara kati ya mabingwa watetezi Simba na Mbeya City na ule wa Azam FC dhidi...

Habari Mchanganyiko

Waharibifu wa miundombinu Mbeya wafikishwa mahakamani

JESHI la Polisi mkoa wa Mbeya limewafikisha mahakamani watu nane ambao ni wanakijiji cha Ngole kwa tuhuma za kufanya uharibifu wa mabomba na...

Michezo

Yanga waanza kazi Ligi Kuu, yaichapa Mtibwa 2-1

YANGA SC imeanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa mjini...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe anena mazito wakili wao kujitoa

BAADA ya Jeremiah Mtobesya, wakili anayetetea viongozi waandamizi wa Chadema wanaokabiliwa na kesi ya jinai namba 112, kujitoa katika kesi hiyo. Freeman Mbowe,...

Habari za Siasa

Wabunge 19 Chadema kulinda kura Dodoma

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema watawatumia wabunge kumi na tisa wa chama hicho kulinda kura katika uchaguzi mdogo wa...

Kimataifa

Kiongozi wa Upinzani Uganda akamatwa tena na Polisi

KIZZA Besigye, Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Uganda amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini humo wakati akijaribu kuondoka nyumbani kwake mjini Kasangati. Anaripoti...

KimataifaTangulizi

Bobi Wine aachiwa huru, akamatwa tena

SERIKALI ya Uganda imemuondolea mashtaka Mbunge wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, lakini alikamatwa tena muda mfupi baada ya kuachiwa huru....

Habari za Siasa

Waislam wamporomoshea dua JPM

SWALA ya Eid Alhaj iliyoswaliwa kitaifa jijini Dar es Salaam imemalizika kwa kuombewa dua Rais John Magufuli. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Dua...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola awasha moto NIDA, vigogo watatu mbaroni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemwagiza Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini kuhakikisha anawatia mbaroni wafanyakazi wa Mamlaka ya...

Habari za Siasa

Dada wa Rais Magufuli azikwa Chato

MWILI wa Monica Magufuli, dada wa Rais John Magufuli umezikwa leo tarehe 21 Agosti mwaka huu, nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato...

Habari za Siasa

Wadau waitwa kutoa maoni miswada ya sheria

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaalika wadau kutoa maoni yao yatakayotumika katika mchakato wa uchambuzi wa miswada ya sheria kwenye ngazi...

Habari Mchanganyiko

Dodoma wala Eid leo, wawaonya wafanyabiashara

IMMAMU wa Msikiti wa Alharamain wa Chang´ombe Jijini Dodoma Shaffi Hussein ,amewaasa wafanyabiashara kuacha kupandisha bei ya vyakula hususan ya mifugo hasa katika...

Habari Mchanganyiko

Answar Sunna watoa ujumbe mzito leo

WAISLAM wa Madhuhebu ya Answer Sunna nchi wameungana na Waislamu wengine duniani katika kusherehekea Sikukuu ya Eid Alhaji. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Michezo

Dilunga, Feisal Toto waitwa Taifa Stars

KOCHA mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Emmanuel Amunike ameita kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini hivi karibuni, kujiwinda na...

Afya

Upandikizaji figo wazidi kufanikiwa Muhimbili

IDADI ya wagonjwa waliofanyiwa huduma ya kupandikizaa figo katika hospitali ya Taifa Muhimbili imefikia 19 tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo mwaka 2017. Anaripoti...

Michezo

TFF yateuwa waamuzi 82 kuchezesha Ligi Kuu

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wamepitisha majina ya waamuzi 82, watakao chezesha michezo mbali mbali ya ligi kuu Tanzania bara katika...

Makala & Uchambuzi

Lipo doa, NEC itazamwe vizuri

MFUMO wa uendeshaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC) unalalamikiwa – kwa muda mrefu sasa kutokana na madai ya kushindwa kubeba...

AfyaTangulizi

Serikali yatangaza uwezekano wa Ebola kusambaa kwa kasi

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) unaonesha...

Habari Mchanganyiko

Waethiopia 25 washikiliwa Kilimanjaro

JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia raia 25 wa Ethiopia waliongia nchini bila ya kufuata sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Waethiopia...

Kimataifa

Uganda kwazidi kuchafuka

MTU mmoja amepoteza maisha na zaidi ya watu 100 wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Uganda, katika maandamano yaliyozuka kwa ajili ya kupinga...

Michezo

Wizara ya habari yamaliza mgogoro wa viwanja Mwenge

WIZARA ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imehamisha umiliki wa viwanja viwili kutoka Makonde kwenda kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) vilivyokuwa...

Elimu

China kuwasomesha wataalam wa gesi

SERIKALI ya China imetoa ufadhili kwa wanafunzi 20 kutoka nchini Tanzania kwa ajili ya kwenda China kusoma masuala yahusuyo mafuta na gesi. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa ajira mpya za walimu

SERIKALI imetoa ajira mpya za walimu 2,160 ambao wamepangwa katika shule za sekondari 1,721 nchini. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Akizungumza na...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge watatu Upinzani kutua CCM kabla Bunge kuanza

WABUNGE watatu wa upinzani- wawili Chadema na mmoja Chama cha Wananchi (CUF), wako mbioni kuvikimbia vyama vyao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

Dada wa Rais Magufuli afariki dunia

MONICA Joseph Magufuli, Dada wa Rais John Magufuli amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 19 Agosti, 2018 kwenye Hospitali ya Bugando iliyoko jijini...

Habari za Siasa

CUF watoa msimamo madiwani wake kuhama

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetoa msimamo wake kuhusu kuhama kwa waliokuwa viongozi, wabunge na madiwani wa chama hicho, kikisema kuwa kitafanya vikao vyake...

Habari za Siasa

Serikali yaja na vifaa vya kisasa vya upimaji ardhi

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema, wizara yake imeleta Vifaa vya kisasa vya upimaji wa ardhi ambavyo vitagawiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Moto wateketeza mali za mamilioni Ngara

MAGARI matano ya mizigo, yameteketea kwa moto katika kituo cha forodha kilichomo eneo la Rusomo, wilayani Ngara, mpakani mwa Tanzania na Rwanda, leo...

Michezo

Simba watwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya nne

SIMBA wamefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya pili mfululizo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa...

Habari Mchanganyiko

Polisi wawashikilia watu 68 kwa kuharibu miundombinu

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu 68 kwa tuhuma za kufanya uharibifu wa miundombinu ya maji katika Kijiji cha Ngole kilichopo...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba kummaliza rasmi Maalim Seif

HARAKATI za Profesa Ibrahim Lipumba kumtosa Maalim Seif, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) zinaelekea ukingoni. Anaandika Faki Sosi … (endelea).  Kwa sasa...

Habari za Siasa

Naibu Meya wa Dar atimkia CCM

ALIYEKUWA Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mussa Kafana amejiuzulu uanachama wa CUF na kuomba kupokelewa ndani ya CCM....

Kimataifa

 BREAKING NEWS: Kofi Annan afariki dunia

KATIBU Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa (UN) Kofi Annan (80), amefariki dunia asubuhi leo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zilizopatikana...

Habari za Siasa

Zile trilioni 1.5 kuanza kusakwa

VIKAO vya Kamati ya Bunge vinaanza wiki ijayo ambapo miongoni mwa kazi zitazofanywa ni pamoja na kupitia na kuchambua Taarifa ya Mkaguzi Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli akata ngebe za wanaoibeza Dreamliner

RAIS John Magufuli amekata mzizi wa fitina kwa wanaoibeza ndege ya Dreamliner wakidai mbovu, baada ya kuamua kutumia ndege hiyo kwenda jijini Mwanza...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aula SADC

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....

Habari za Siasa

Chadema wateua wa kupambana na Waitara, Kalanga

CHAMA cha Chadema kimeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi baada ya wabunge wawili kujiuzulu na mmoja kufariki. Anaripoti Regina Kelvin …...

Habari Mchanganyiko

Taasisi za mbegu zatakiwa kuweka mikakati ya kuinua kilimo

NAIBU Waziri wa Kilimo Omari Mgumba amezitaka Taasisi zinazojihusisha na masuala ya mbegu nchini kuweka mipango mikakati wa miaka minne itakayoendana na mpango wa...

Michezo

DPP aendelea kuwasotesha Aveva na Kaburu

RAIS wa klabu ya Simba Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wameendelea tena kusota mahakamani baada ya kusubiri kibali kutoka kwa...

Habari Mchanganyiko

Polisi, Dawasco, Tanesco kuanzisha msako mkali

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Tanesco, Dawasco na kampuni mbalimbali za simu za mkononi limeanzisha msako...

Michezo

Okwi kuikabili Taifa Stars Septemba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uganda ‘The Crains’ kitakachowakabili timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ mchezo wa...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba: Ninaongoza kwa kuwatetea Wazanzibar

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa amesema, ni kinara kwa kuwatetea Wazanzibari. Anaandika Faki...

Afya

Wajawazito wahimizwa kupima Ukimwi

AKINA Mama wajawazito wametakiwa kuwahi kliniki mara wanapohisi wana ujauzito na kufuata ushauri wa wataamu wa afya ili kuwakinga watoto wanaotarajia kujifungua dhidi...

Habari Mchanganyiko

‘Waraka wa mishahara serikalini uzingatiwe’

SERIKALI imetakiwa kuhakikisha waraka wa mishahara unapitiwa kila baada ya miaka mitatu na kufanyiwa marekebisho kama inavyotakiwa kisheria ili kuhakikisha haki ya ujira...

Habari Mchanganyiko

Professa Mbarawa aagiza kukusanywa kodi

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Professa Makame Mbarawa ameiagiza Mamlaka ya Maji na Umwagiliaji mkoani Mwanza (MWAUWASA) kuongeza jitihada za ukusaji wa kodi...

Habari Mchanganyiko

Wafugaji tuhumani kuwapiga watoto chapa kama mnyama

RIPOTI ya Haki za Binadamu na Biashara imetaja kupungua vitendo vya Ukatili wa kupigwa chapa ya moto kama mnyama kwa watoto mkoani Geita....

error: Content is protected !!