Saturday , 20 April 2024

Day: August 12, 2018

Habari za Siasa

Majaliwa atema cheche Ruangwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Pudencis Protas  kumkamata Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC)...

Makala & Uchambuzi

Kweli Mwl. Nyerere hafananishwi na yeyote

NI kweli kuwa, taifa si mtu mmoja kwa maana kwamba, akiondoka wengine watashika nafsi na siku zitasonga mbele. Anaandika Mchambuzi Wetu … (endelea). Lakini...

Habari za SiasaTangulizi

Lema apigwa, visu vyatamba Arusha

GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari...

Habari za Siasa

Mambo yameiva Buyungu

WAKAZI wa Jimbo la Buyungu lililoko Wilayani Kankonko mkoa wa Kigoma, wamejitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin …...

Habari za SiasaTangulizi

Ukistaajabu ya Lipumba utayaoona ya Mtatiro

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amekula matapishi yake baada ya kutangaza kuunga mkono juhudi za...

Habari za Siasa

‘Mtatiro amefuata fursa kwa JPM’

KWENYE siasa hatufuati watu. Ukiwafuata watakuacha solemba. Fuata misingi. Anaandika Ansbart Ngurumo … (endelea). Msando na Mtatiro walikuwa wafuasi. Hawakuwa waanzilishi. Hata wangekuwa...

error: Content is protected !!