Thursday , 25 April 2024

Day: August 11, 2018

Habari za Siasa

Lowassa ataja sababu za Kalanga kurudi CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa. Edward Lowassa leo amewahutubia wananchi wa Kata ya Migungani Wilayani Monduli katika...

Habari Mchanganyiko

DC afunga viwanda vya Wachina Kibaha

SERIKALI imevifunga viwanda viwili vya wachina vilivyoko Kibaha mkoa wa Pwani vinavyojihusisha na utengenezaji wa nondo na uzalishaji wa malighafi ya kutengenezea Gypsum...

Habari za SiasaTangulizi

Pole Maalim Seif

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ameondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi  (CCM)....

Michezo

Makambo ruksa kuivaa USM Alger

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Heritier Makambo amepewa ruhusa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ‘CAF’ kuitumikia klabu hiyo katika mchezo wa Kombe...

Habari za Siasa

Nape Nnauye atoa neno kuhama kwa Mtatiro

NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama ametoa neno baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF Taifa, Julius Mtatiro kukihama chama...

Habari za SiasaTangulizi

Mtatiro aitosa CUF, amuunga mkono Rais Magufuli

JULIUS Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, amejivua uanachama wa chama hicho na kuonesha nia ya kuhamia Chama...

Habari za SiasaTangulizi

NEC watoa neno kwa wagombea, wapiga kura

IKIWA kesho tarehe 12 Agosti, 2018 ni siku ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge Buyungu na kata thelathini na sita (36),...

Kimataifa

Urais wa Mnangagwa wapingwa mahakamani

CHAMA kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe ‘Movement for Democratic’ (MDC) kimeenda mahakamani kwa lengo la kukata rufaa, ili kupinga matokeo ya uchaguzi wa...

error: Content is protected !!