August 1, 2018 – MwanaHALISI Online

Daily Archives: August 1, 2018

Serikali yasisitiza wajawazito kutibiwa bure

20180801_200455

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza kuwa huduma za uzazi kwa wajawazito zinatolewa bila ya malipo katima Hospitali na vituo vya afya vya ...

Read More »

Mbaroni kwa kumchoma mtoto moto

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Ulrich Matei

WATU wawili, Judith Amoni Mwansansu (39) Mkazi wa Mwanjelwa na Aive Alex Swalo (17) Mkazi wa Mwanjelwa Mtaa wa Soko wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kosa ...

Read More »

Halima Mdee, wanachama wa Chadema wakamatwa jioni hii

_HMB0488

TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama, Halima Mdee (Mb) pamoja na viongozi wengine, wanachama na wapenzi wa CHADEMA Jimbo la Kawe takriban ...

Read More »

Simba kukipiga na Asante kotoko kutoka Ghana

IMG_0845-640x427

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzani Bara, Simba wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko kutoka Ghana katika maadhimisho ya siku ya Simba (Simba Day) yanayotarajia kufanyika katika Uwanja ...

Read More »

ACT-Wazalendo: Kangi Lugola anafanya kazi kwa kulipuka

IMG_3151

CHAMA cha ACT-Wazalendo wamesisitiza kuwa Kiongozi wao, Zitto Kabwe hatatii agizo lililotolewa na Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, kwani hana mamlaka hiyo na amekuwa akifanya kazi zake kwa ...

Read More »

Rais Magufuli mgeni rasmi mkutano wa ALAT

Mwenyekiti wa ALAT, Gulamhafeez Mukadamu

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) intarajia kufanya mkutano wake mkuu wa 34 Desemba 24 hadi 28 mwaka huu Jijini Dodoma huku mgeni rasimi akiwa Rais John Magufuli. Anaripoti ...

Read More »

Auawa kwa shoka, kisa wivu wa mapenzi

Kamanda wa Polisi Morogoro, Wilboard Mutafungwa

WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti akiwemo mwanamke mmoja Rose Mngwe (43) mkulima na mkazi Njage wilayani Kilombero kuuawa kwa kukatwa na shoka kichwani na mumewe kwa wivu wa ...

Read More »

Zitto amwibua Mbwa wa Lugola

Zitto-Kabwe1

SIKU moja baada ya Zitto Kabwe, kumweleza Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwamba, ashughulike na mbwa wa polisi, hatimaye majibu yamepatikana leo alipo mbwa huyo. Anaripoti Faki ...

Read More »

Kujiuzulu Meya Ilala, CUF pachimbika

_MG_0659

CHAMA cha Wananchi (CUF) kumewaka baada ya aliyekuwa Naibu Meya wa Ilaya anayetokana na chama hicho, Omary Kumbilamoto leo Agosti mosi, 2018 kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin ...

Read More »

Mkwasa kwenda India kwa Matibabu

Boniface Mkwasa

ALIYEKUWA katibu mkuu wa klabu ya Yanga na kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa amesafiri jana kuelekea India kwa matibabu ya maradhi yanayomkabili. Anaripoti ...

Read More »

Upinzani wazidi kupukutika, Meya Ilala abwaga manyanga

20180801_103843

OMARY Kumbilamoto, Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Vingunguti kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi CUF, leo tarehe 1 Agosti, mwaka huu, ametangaza ...

Read More »

Uwanja wa ndege mpya wakamilika asilimia 8o

20180801_101240

MHANDISI Isack Kamwelwe, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, amefanya ziara katika kiwanja kipya cha ndege cha Julius Nyerere kilichopo DSM kufanya ukaguzi wa ujenzi wa kiwanja hicho. Anaripoti Khalifa ...

Read More »

Shetani ameweka kambi Z’bar?

Boti ya Hamal Zanzibar ikiwa chini ya ulinzi na meli ya ulinzi ya Scotland baada ya kukutwa na dawa za kulevya

NINAZIONA jitihada za nguvu na waziwazi za uongozi wa serikalini kuwasukumia wafanyakazi wa Shirika la Meli Zanzibar lawama na shutuma kuhusu kulala kwa meli ya Mv Mapinduzi II. Anaandika Jabir Idrissa…(endelea). ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube