MENEJA wa klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp ameonekana kuwahofia dhidi klabu ya Leicester City katika kuelekea kwenye mchezo wao wa ligi kuu nchini...
By Kelvin MwaipunguAugust 31, 2018WIMBI la hamahama ya madiwani na wabunge wa upinzani nchini limelalamikiwa kuwa linaipeleka nchi kwenye giza la uchumi kutokana na kuingia kwenye gharama...
By Faki SosiAugust 31, 2018KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars, Emmanuel Amunike ametoa msamaha kwa wachezaji wa watano wa Simba na mmoja wa...
By Masalu ErastoAugust 31, 2018SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania (TFF), kupitia katibu mkuu wake Wilfred Kidao imesema mpaka sasa hawajajua watatoa zawadi ipi kwa bingwa wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 31, 2018MATOKEO ya ripoti ya nusu mwaka wa 2018 ya haki za binadamu nchini iliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)...
By Regina MkondeAugust 31, 2018MGANGA Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Bakari Kambi ameongoza timu ya wataalam wa Afya kutoka Wizara ya Afya na Shirika la Afya Duniani...
By Masalu ErastoAugust 31, 2018SERIKALI ina mpango wa kuanzisha Chama cha Wanasheria walio katika utumishi wa Umma. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mpango huo umeelezwa na Mwanasheria...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2018RAIS John Magufuli amefunga mjadala kuhusu makontena 20 yenye samani ikiwemo meza na viti yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
By Regina MkondeAugust 30, 2018TUKIO la Mwalimu Respecious Patrick wa Shule ya Msingi Kibeta, iliyoko Bukoba mkoani Kagera anayedaiwa kumwadhibu mwanafuzi Sperius Eradius, na kupelekea mwanafunzi huyo...
By Regina MkondeAugust 30, 2018NAIBU Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ametoa maagizo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard...
By Masalu ErastoAugust 30, 2018RAIA wa nchi za Afrika wanazo sababu nyingi za kutamani na hata kupanga kubadili tawala zao zilizoasi. Ni mabadiliko ambayo yatawezesha kufikia kilele...
By Yusuph KatimbaAugust 30, 2018BAADA ya mnada wa kwanza wa makontena 20 yenye samani yaliyoingizwa na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kukwama, Mamlaka...
By Regina MkondeAugust 30, 2018KUNDI la paka wapatao 12 wameshiriki mazishi ya Salehe Matiko aliyezikwa saa 10 alasiri ya Agosti 24 katika Kijiji cha Chikalala mkoani Lindi....
By Mwandishi WetuAugust 30, 2018KAMPUNI ya ndege ya taifa (ATCL), leo Alhamisi ya tarehe 30 Agosti 2018, inatarajiwa kuzindua safari yake ya tatu ya kimataifa, itakayoanzia Dar...
By Regina MkondeAugust 30, 2018Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa kitendo cha Mwalimu kumpiga mwanafunzi hadi kufa ni cha bahati mbaya. Anaripoti Khalifa...
By Masalu ErastoAugust 29, 2018BAADA ya kumalizika kwa michezo ya kundi D, ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika hatimaye klabu za Yanga na Gor Mahia...
By Kelvin MwaipunguAugust 29, 2018RAIS Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, leo Agosti 29, 2018 amemtembea na kumuombea...
By Masalu ErastoAugust 29, 2018MSHAMBULIAJI wa Livepool na timu ya Taifa ya Misri, Mohamed Salah amekipa masharti Chama cha Mpira wa Miguu Misri (EFA) ambayo wakishindwa kuyatimiza...
By Masalu ErastoAugust 29, 2018TANZANIA kupata mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46 sawa na zaidi ya shilingi trilioni 3.3 kutoka kwa Benki ya Standard Chartered...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2018KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Emmanuel Amunike amewaondoa wachezaji sita wa klabu ya Simba waliokuwa wameitwa kwenye timu hiyo...
By Kelvin MwaipunguAugust 29, 2018IKIWA imebaki siku mbili Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litimize miaka 54 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964, limetangaza mafanikio yake...
By Regina MkondeAugust 29, 2018KAMATI ya Waamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Mwenyekiti wake, Mzee Salum Chama imewasimamisha baadhi ya waamuzi ambao wamefanya vibaya...
By Kelvin MwaipunguAugust 29, 2018VIONGOZI wa dini zote wametakiwa kushirikishwa kwenye maandalizi ya mapambano ya ugonjwa wa ebola ambao umetaatifiwa upo nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia...
By Masalu ErastoAugust 29, 2018REBECCA Kadaga, Spika wa Bunge la Uganda amemwandikia barua Rais Yoweri Museveni akimtaka kuhakikisha kwamba, polisi waliohusika kumpiga na kumjeruhi, Robert Kyagulanyi ‘Bobi...
By Regina MkondeAugust 29, 2018TUNDU Lissu, Mbunge was Singida Mashariki amesema kuwa upinzani umeshambuliwa kuliko kipindi chochote nchini Tanzania. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Lissu amesema hivyo...
By Yusuph KatimbaAugust 28, 2018PHILOMENA Mwilu, Naibu Jaji Mkuu wa Kenya amekamatwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeAugust 28, 2018CHANELI za ndani kuanza kuoneshwa bure katika visimbuzi kuanzia tarehe 5 Septemba, 2018. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Hayo yamesemwa leo tarehe 28...
By Regina MkondeAugust 28, 2018HAWA Ghasia, Mbunge wa Mtwara Vijijini kupitia CCM, amejiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti leo tarehe 28 Agosti, 2018. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeAugust 28, 2018WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaelekeza wakuu wote wa vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini kuainisha maeneo yote ya...
By Masalu ErastoAugust 28, 2018SERIKALI imetenga Sh. 30 bilioni kwa ajili ya kujenga na kukarabati miundombinu ya hospitali za Rufaa za Mikoa kila mkoa ili kuweza kuwawezesha...
By Masalu ErastoAugust 28, 2018JOSEPH Mbilinyi, Mbunge wa Mbeya Mjini amedai kuwa, kifo cha marehemu mama yake, Desderia Mbilinyi kilichotokea tarehe 26 Agosti, 2018 katika hospitali ya...
By Faki SosiAugust 28, 2018KITABU cha “The Prince” kilichoandikwa na Machievelle imeelezwa kuwa, kufaulu au kutofaulu kwa mtawala yeyote hutegemea anavyoweza kuwateua wasaaidizi wake. Anaandika Yusuph Katimba...
By Yusuph KatimbaAugust 28, 2018MTOTO mmoja aliyefahamika kwa jina la Chriss Shida (2) amefariki dunia baada ya kuungua na moto akiwa nyumbani kwao katika kijiji cha Kimondo...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2018DONALD Trump, Rais wa Marekani na Rais Uhuru Kenyetta wa Kenya wamesaini mikataba yenye thamani ya dola za kimarekani 900 milioni, huku sehemu...
By Regina MkondeAugust 28, 2018SERIKALI kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yaendelea kuweka mikakati thabiti katika maeneo yote hatarishi ikiwemo mipakani na...
By Masalu ErastoAugust 27, 2018MPANGO wa Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuzuia kuuzwa makontena zaidi ya 20 yaliyoingizwa kwa jina lake kutoka nje,...
By Regina MkondeAugust 27, 2018SAID Juma Makapu amefiwa na mama yake mzazi nyumbani kwao Zanzibar, hivyo kusababishwa kuondolewa katika orodha ya wachezaji wa Yanga wanaosafiri kuelekea nchini...
By Masalu ErastoAugust 27, 2018BASILA Mwanukizi, Mkurugenzi wa kampuni ya Look LTD ambao ni waandaaji wapya wa Shindano la Miss Tanzania kwa mwaka 2018 amesema kuwa atahakikisha...
By Masalu ErastoAugust 27, 2018MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi imeipiga karenda kesi inayowakabili viongozi waandamizi tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wa Taifa wa...
By Faki SosiAugust 27, 2018ROBERT Kyagulanyi ‘Bob Wine’ Mbunge wa jimbo la Kyadondo nchini Uganda na wabunge wengine watatu wameachiwa huru kwa dhamana na Mahakama Kuu mjini...
By Regina MkondeAugust 27, 2018MAHAKAMA ya Mkoa wa Iringa imemkuta na kesi ya kujibu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP) Abdul Nondo aliyeshitakiwa kwa madai ya...
By Faki SosiAugust 27, 2018KANGI Lugola Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, amemuweka ndani Ibrahim Mhando, Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Kati mjini Mtwara (OCS)...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2018CARLO Maria Vigano, Mjumbe wa zamani wa Vatican amemtaka Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani kujiuzulu kufuatia kadhia inayoliandama kanisa hilo...
By Regina MkondeAugust 27, 2018PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yupo kwenye mtihani wa kunasua ‘makontena yake yaliyobeba samani’ bandarini jijini Dar es Salaam....
By Yusuph KatimbaAugust 27, 2018LIONEL Messi, nahodha wa Bacelona na Sergio Ramos wa Real Madri ndio vinara wa kuongoza mgomo kupinga La Liga kuchezwa Marekani. Anaandika Kelvin...
By Kelvin MwaipunguAugust 26, 2018MPINZANI was Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama mwaka 2008 na seneta maarufu nchini Marekani, John McCain (81), amefariki dunia akiwa katika chumba...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), kupitia kamati yake ya nidhamu imemfungia miaka 12, Rais wa Chama cha Soka cha Palestina, Jibfril...
By Kelvin MwaipunguAugust 25, 2018DK. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, anatarajiwa kumwakilisha Rais John Magufuli katika sherehe za kuapishwa wa Emmerson Mnangagwa, Rais...
By Regina MkondeAugust 25, 2018SAID Ramadhan, Mkazi wa Kijiji cha Ikongoro wilayani Uyui amejinyonga baada ya kumuua mkewe Mwajuma Hussein kwa kumpiga risasi kutokana na wivu wa...
By Regina MkondeAugust 25, 2018DONALD Trump, Rais wa Marekani amesitisha utoaji msaada wa zaidi ya dola 200 milioni kwa Palestina. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Marekani ilipanga...
By Regina MkondeAugust 25, 2018