Thursday , 25 April 2024

Month: June 2018

Habari za Siasa

Muswada wa Dodoma kuwa Jiji watinga Bungeni

SERIKALI imewasilisha miswada mitano ukiwemo  unaopendekeza kutungwa kwa sheria ya Tamko la Makao Makuu ya mwaka 2018 kwa madhumuni ya kutangaza jiji la Dodoma kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Minyukano waipeleka Bunge mpaka usiku

BUNGE jana lililazimika kuendelea na kikao chake hadi saa 3:27 usiku baada ya wabunge kutokana na wabunge kupinga marekebisho ya sheria mbalimbali ikiwamo...

KimataifaTangulizi

‘Watu wasiojulikana’ wavamia ofisi za gazeti waua watano

WATU wasiojulikana wamevamia ofisi za gazeti la Capital Gazette na kufyatua risasi na kuua watu watano na kuwajeruhi wengine, katika jiji la Maryland,...

MichezoTangulizi

Afrika wawaachia wenye mpira wao

KOMBE Dunia linaingia katika hatua ya mtoano bila kuwa na timu kutoka Bara la Afrika, baada timu zote tano kutolewa hatua ya makundi....

Habari za SiasaTangulizi

Waajiliwa wa CCM wajilipa Mil 270 kabla ya wakati

JUMUIYA ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Morogoro imewasimamisha kazi mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mkono wa Mara, Rajabu Vindili...

Habari za SiasaTangulizi

Nape aitabiria mabaya CCM

MBUNGE wa Mtama kwa tiketi ya CCM, Nape Nnauye ameitabiria mabaya chama chake, kuwa kisipokuwa makini kitakufa na kupotea kabisa katika mikoa ya Kusini kama...

Habari Mchanganyiko

Ajali yaua 14 Mkuranga

AJALI mbaya imetokea mapema leo maeneo ya Kiguza, Mkuranga mkoa wa Pwani na kusadikika kuuwa watu zaidi ya 14 waliokuwa katika gari dogo la...

Habari za Siasa

Mbowe na wenzake mahakamani tena kesho

VIONGOZI tisa wa Chama cha Demokrasia na Maanedeleo (Chadema), wanatarajiwa kutinga mahakamani tena kesho kusikiliza kesi inayowakabili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wanaotarajiwa...

Habari za SiasaTangulizi

CUF: Bajeti ya Serikali ni hewa

CHAMA cha Wananchi CUF kimechambua bajeti ya serikali ya mwaka 2018/19 kuwa ni bajeti hiyo ni hewa na haina muafaka kwenye kuinua uchumi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tumerejea

MTANDAO wa MwanaHALISI unaopatikana kupitia www.mwanahalisionline.com umererejea tena mtaani kwa wasomaji wake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hii ni baada ya kukamilisha taratibu zote...

Habari za Siasa

Bawacha wanunua kesi ya mwanamke kujifungua Polisi

UONGOZI wa Baraza la wanawake Chadema (Bawacha)limelaani vikali kitedendo cha udhalilishaji kilichofanywa na jeshi la polisi dhidi ya Amina Mapunda (26) mkazi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Madiwani Moro wachunguza upotevu wa Mil 350

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro limeunda Kamati maalum ya kuchunguza upotevu wa kiasi cha Sh. 353 milioni ambazo hazikuingizwa...

Habari za SiasaTangulizi

Ndesamburo mwingine aondoka Moshi

HAWA Mushi, diwani wa Chadema katika kata ya Mawenzi, katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi, hatimaye amezikwa mchana huu, nyumbani kwake Mawenzi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kifua mbele Tunduma, serikali yasusa

UJENZI wa barabara, ujenzi wa vyoo, shule na uchimbaji visima umeimarisha taswira ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Halmashauri ya Mji...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali waikataa barua yao kwenda KKKT

MWIGULU Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, amekanusha kuwa barua iliyoandikwa na wizara hiyo ya kulitaka Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...

Habari Mchanganyiko

Wakuliwa watakiwa kulima pilipili kichaa

WAKULIMA Mkoani Morogoro wametakiwa kuchangamkia fursa ya kilimo cha pilipili kichaa kutokana na zao hilo kuwa na soko huku likiwa na sifa ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watoto watakiwa kujenga ujasiri dhidi ya unyanyasaji

WATOTO nchini wametakiwa kujenga ujasiri kwa kupaza sauti pindi wanapoona kuna viashiria vya unyanyasaji na vitendo vya ukatili dhidi yao kutoka kwa baadhi...

Michezo

Simba, Yanga wakutanishwa mapema Kagame

MAHASIMU wa soka Tanzania, Simba na Yanga watakutanishwa mapema katika michuano ya Kombe la Kagame, linalotarajiwa kutimua vumbi nchini kuanzia Juni 28 hadi...

Habari za Siasa

CAG amweka pabaya waziri wa JPM bungeni

 HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na John Mnyika wa Kibamba (wote Chadema) wamemkaria kooni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango wakitaka...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu afanyiwa operesheni ya mwisho, yamalizika salama

TUNDU Lissu mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) amefanyiwa operesheni ya mwisho na imemalizika salama. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Lissu ambaye alifanyiwa operesheni...

Habari Mchanganyiko

Wakulima Moro waondokana na adha ya masoko

JUMLA ya vikundi 46 vya wakulima wa mazao mbalimbali mkoani Morogoro wameanza kuondokana na adha ya kukosa masoko ya bidhaa zao kufuatia kukutanishwa...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali inawasurubu askari Magereza

JOSEPH Mbilinyi ‘Sugu’ Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini (Chadema) ameing’ang’ania serikali kwenye suala la mustakabali wa mafao ya askari Magereza. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Kubenea ahoji mabilioni ya makinikia

Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amemtaka Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi kulieleza Bunge majadiliano baina ya Serikali na Kampuni...

Habari za Siasa

Huu ndiyo ugonjwa uliosababisha kifo cha Mwalimu Bilago

MWALIMU Kasuku Kasuku Bilago (54), mbunge wa Buyungu, wilayani Kakonko, mkoani Kigoma (Chadema), aliyefariki dunia Jumamosi iliyopita na kuzikwa jana Jumatano. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai alalamikia Chadema kumficha Bilago

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, amekituhumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufuatia hatua yake ya kulizuia Bunge, kumzika mbunge wa...

error: Content is protected !!