Daily Archives: March 5, 2018

Mbowe aruhusiwa hospitali

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC ameruhusiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mbowe alilazwa hospitalini hapo jana akisumbuliwa na ...

Read More »

Afya ya Mbowe yazidi kuimarika

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

AFYA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe inazidi kuimalika baada ya kufikishwa kwenye hospitali na Rufaa ya KCMC jana jioni akiwa huku afya yake ikiwa ...

Read More »

Mengi awapa ‘dili’ vijana katika hali ngumu

Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), Reginald Mengi

MWENYEKITI wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Reginald Mengi, amewaomba vijana kuchangamkia fursa za kibiashara zinazojitokeza wasipotoshwe na msemo wa hali ngumu, wakati huo kuna wageni wanakuja kutoka nje ya ...

Read More »

Mtatiro awajibu waliomvua uanachama

Mwenyekiti wa Kamati ya  Uongozi wa chama cha CUF, Julias Mtatiro akizungumza na waandishi wa habari

MWENYEKITI wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amejibu uongozi wa CUF wilaya ya Ubungo, uliomvua uanachama, na kusema kuwa hatajishughulisha na tangazo hilo na siyo ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube