January 6, 2018 – MwanaHALISI Online

Daily Archives: January 6, 2018

​Lissu afika salama Ubelgiji, apokelewa kwa ulinzi mkali

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki akipokelewa na madaktari wa hospitali aliyoenda kutibiwa nchini Ubelgiji

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu, amewasili salama nchini Ubegiji alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu zaidi. Anaripoti Saed Kubenea.… (endelea). Taarifa kutoka kwa mmoja ...

Read More »

Meya Dar: Ngoma ngumu 2020

Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mussa Kafana

USHINDI wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwenye uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam ni ishara kwamba uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa pamoja na ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube