Tuesday , 23 April 2024

Day: January 5, 2018

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu: Serikali ilipania kuninyamazisha

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema shambulio la risasi alilofanyiwa akiwa mjini Dodoma lililenga kumnyamazisha dhidi ya kuikosoa serikali. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Baba aua familia yake kwa kutumia jembe

AMMY    Lukule ambaye ni mhasibu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya amefanya mauji kwa familia yake kutokana na wivu wa mapenzi, Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Rugemarila ataja wezi wa fedha za Escrow 

MFANYABIASHARA James Rugemarila anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama alivyodai...

Kimataifa

Marekani yaikomalia Afghanistan, yasitisha misaada

MISAADA  ya kiusalama kwa Pakistan yenye thamani ya takriban dola milioni 900 itasitishwa hadi pale Pakistan itakapochukua hatua madhubuti ya kupambana na kundi...

Michezo

Serikali yamshika mkono Babu Seya hadi studio

SERIKALI imetangaza kuwabeba wasanii waliokuwa wamefungwa jela maisha ambao Desemba 9, 2017 walipewa msamaha na Rais John Magufuli ili kuinua vipaji vyao. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

UKAWA kuanikwa siri ya ushindi ya Unaibu Meya

MWENYEKITI wa Chadema, Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, atakutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, muda wowote wiki hii. Anaripoti Faki...

error: Content is protected !!